Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,226
- 44,221
ila ni mara 10 ya Elanga, kama mkuu una realise mechi kadhaa hizi Bila Antony kulia kumepwaya sana, Sancho ni mzuri pande zote 2, Mechi iliopita pia uliona tuliforce Rashford sababu hakuna mtu kule.Ila ana mbwembwe nyingi zisizo na mshiko
Sancho anachezaga tu lakini kiuhalisia sio no yake yeye anapaswa kupambana na Anthony, Rashford ndo anatakiwa kupambana na Garnacho.Ni Anthony?
Sancho akirudi ana kazi.
Ile mechi ya Villa park wachezaji walikuwa na fatigue ya uchovu wa safari ya SpainSema mda mwngne tunaujuaji sana mashabiki kila chimbo la Man U lilikua linabeza kikosi cha ETH leo ila kimecheza vzur kuanzia dakika ya 0 mpaka 90 kimecheza kuliko kile cha villa park na Unai hajafanya mabadiriko makuubwa kina Ramsey,Watkins waliotukaanga ndo walewale wa Leo sasa najiuliza tulikwama wapi Villa park Bruno nae sijui anamapepo game nyngne mpaka unataman kumchapa ila game nyngne anakiwasha kama hii ya leo
Gernacho future is Bright...Rash hatukudai leo..Martial unakaa sana offside...Malacia,Maguire Kakichafua MNOO NA KADI JUU ,,UYU KIPA APEWE game nzito tuone uwezo wake villa hawajapiga shot on target nyingii tuone uwezo wake wa saves
FT 4-2
huyu mtoto Garnacho ni mzuriiii, Sancho auzwe kabsaaa
Kocha anawabania sana....VDB akae nje vijana wapige goziPellistri na Iqbal nao wapewe muda
Sijui nini kimempata VDB! Yaani hata kumtetea sasa inakuwa ngumu, maana anapewa nafasi lakini haonyeshi kama anastahili.
VDB auzwe haraka sana. Hamna mchezaji pale.
Nikiangalia uchezaji wa Eriksen natamani awe ndio anatimiza miaka 24.
@KENGE 01Sema mda mwngne tunaujuaji sana mashabiki kila chimbo la Man U lilikua linabeza kikosi cha ETH leo ila kimecheza vzur kuanzia dakika ya 0 mpaka 90 kimecheza kuliko kile cha villa park na Unai hajafanya mabadiriko makuubwa kina Ramsey,Watkins waliotukaanga ndo walewale wa Leo sasa najiuliza tulikwama wapi Villa park Bruno nae sijui anamapepo game nyngne mpaka unataman kumchapa ila game nyngne anakiwasha kama hii ya leo
Gernacho future is Bright...Rash hatukudai leo..Martial unakaa sana offside...Malacia,Maguire Kakichafua MNOO NA KADI JUU ,,UYU KIPA APEWE game nzito tuone uwezo wake villa hawajapiga shot on target nyingii tuone uwezo wake wa saves
FT 4-2
Last game commentator alisema kwa namna anavyocheza lazima atakuja kuvaa jezi no. 7 ya United.Hahaha, Sancho amepoteza kujiamini nadhani, akipatiwa muda atakaa vizuri. Tulitarajia mambo anayofanya Garnacho ndio angeķuwa anayafanya Sancho,ila hali imekuwa tofauti.
Garnacho akitunzwa vizuri hapa tuna mchezaji hatari sana.