Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hayo makosa huwa anayafanya kwa kurudia rudia, yeye na magwaya
 
Nilivyoona tu kikosi nilijua kitachotokea sijui kwanini kocha kamuacha fred nje dhidi ya DVB.

Ok next game aston villa wanakuja OT Alhamis tutajua wametuotea au mbinu hatuna.
 
Kocha kazingua sana..

Alijua fika kabisa Villa leo watakuwa na morali kubwa na badala ya kuweka kiungo strong anaweka rojorojo..eti VdB ndani..kmmk..aache utani.
 
Imagine hao wote wawili Martial na Rashford waanze, maana ake unakuwa na upungufu wa wachezaji wawili ndani.
Martial +Rashford upfront>>>>>Ronaldo +Rashford.

Kubali kataa..huo ndo ukweli.

I'm not saying they are good enough ila ni bora kuanza nao kuliko huyu Ronaldo.
 
VDB ana shida ndo maana makocha wote hawakumchezesha.

Rashford hana consistency. Anacheza vizuri akiwa striker au anatokea kushoto. Anacheza vizuri mech moja 3 zinazofata anatoa boko ..boko kweli

Dalot haongezi chochote kwenye mashambulizi. Anakimbia hadi kwenye kona anarudisha mpira nyuma. Hawezi kutoa cross. Akitoa cross inakuwa mbaya au kipa anadaks. Useless!

Shaw naye na Malacia ni kitu hiko hiko ni kama wakifika kona ya timu pinzani hawajui cha kufanya bali kurudisha mpira nyuma.

Kiufupi full backs wa man utd wote ni useless kwenye mashambulizi.


Ronaldo is tired. Wamtengenezee nafasi wampe cross...hivi vyote hapati...huwa anamake runs nyingi ila jamaa kina eriksen na wengine hawampi pass au cross. Ataumia sans bora aondoke.


Elanga sio mchezaji. Anapoteza mipira ovyo hawezi kukaba. Asicheze tena.

Garnacho aanze kila mechi dakika 90.

Lindelof ni shida.

Eriksen kachoka sana.

Kiufupi....mzee baba Ralf Rangnick alikuwa sahihi. Timu ifumuliwe iundwe upya.

Man utd watamaliza wa 5, 6, 7


Safari bado ndefu sana.


Kesho kutwa Aston Villa anakuja OT kipigo kinakuja tena...duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…