Manchester United (Red Devils) | Special Thread

mara ya mwisho kufungwa goli kwa open play ilikuwa dhidi ya everton.
chelsea walitufunga goli kwa njia ya penalty

everton 1 - man utd 2
man utd 1 - omonia 0
man utd 0 - newcastle 0
man utd 2 - tottenham 0
chelsea 1 - man utd 1
man utd 3 - sheriff 0
man utd 1 - west ham 0
real sociedad 0 - man utd 1
 
Rafiki yako AWB umempiga kipapai yupo tu benchi pale
 
Ninacho kukubali mdogo wangu hauna dachi, kwenye utani unatania kwenye ukwi unaongea.
 
Ninacho kukubali mdogo wangu hauna dachi, kwenye utani unatania kwenye ukwi unaongea.
Katika mashabiki wa Arsenal wa JF huyu jamaa ni namba moja ninaemkubali, hua kabla hata ya kusoma post yake cha kwanza lazima ni like then ndio niendelee kuchota busara zake.
hamis77 wewe jamaa sio shabiki wa mpira bali ni mpenzi wa soccer [emoji460] aliyekosea kuchagua timu ya kushangilia na kwenda kuangukia kule kwenye fungu la kukosa(AsaniAli)
 
Bado kuna mtu atakuambia hakuna mabadiliko, hawa wala mihogo hawa wana mambo kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
WACHEZAJI WEUSI HAWANA NAFASI HAPO..UNITED YETU NAONA INA KA-UBAGUZI KWA SASA, FUATILIA UTAGUNDUA.
tatizo sio rangi ya ngozi tatizo ni uwezo uwanjani... kwa fikra hizi Maguire angekuwa mweusi mngesema anabaguliwa... Yorke na Cole wote ni weusi na hadi leo wanaheshimika kutokana na uwezo wao. rashford malacia na elanga ni weusi wengine waanaopewa nafasi Kubwa ya kutamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…