Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Januzaj, the kid is toying with the pensioners....Javier would make use of his service in the 2nd half
 
Januzaj is bossing again....but nobody to make use of his crosses.
Nakubali dogo atakuwa nuksi zaidi misimu miwili au mitatu ijayo..Lakini kwa hali ilivyo Man utd inatakiwa invest top top players ili aendelee kuwa mkali zaidi
 
Nakubali dogo atakuwa nuksi zaidi misimu miwili au mitatu ijayo..Lakini kwa hali ilivyo Man utd inatakiwa invest top top players ili aendelee kuwa mkali zaidi

Nakubaliana nawe....kwa sababu United imetengeneza nafasi nyingi lakini imeshindwa kuzitumia....
 
aisee....msiba mwingine wajameni...loh. mbona chelsea wanataka kutuadhili tena kwa kipigoncha mbwa mwevi? yarabi Chelsea tuoneeni IMANI,
 
Evra has been terrible again....apart from CMs and AMs, the LB is also the area to strengthen.....
 
Inaweza kuwa bonge la aibu kwa wazee wa Manchester... Beki imepwaya, katikati poa, umaliziaji ndo vile. Nilisema Kagawa angeanza mngekuwa na nafasi. Young anapotelea mbele.
 
Really missing RvP and Wazza's services....

Possible subs:

Young off, Kagawa in....

Jones off, Fletcher in....

Welbeck off, Javier in....

Then Januzaj goes left and Kagawa gets 10....hopefully, we can go for a draw....

Let's do this #ManUnited
 
Kwisha kazi Nyie!

Yani Nyie mpk mshuke daraja safari hii!
 
Back
Top Bottom