Kipindi hiki ambacho Chelsea ,liver na Spurs Wana form ambayo haieleweki utd ndo pakupiga gape hapa ,,,,
Utashangaa tuna-draw au kufungwa kabisa !
Walau siku hizi tuna ahueni ya kuangalia game huku tumekunja nne regardless matokeo,,,, mid na back line Kuna improvement kubwa,,, !!!!!!
Yule scamacca Ni wakuchunga Sana !
#GGMU , trust the process