Ile nguvu iliyotumika kusawazisha goli ndani ya dakika 5 laiti ingetumika kipindi cha kwanza tusingeongelea habari ya draw na hawa kenge.
Wachezaji waliingia uwanjani na mentality ya kutoa sare ndio maana hata walipokua wanaingia ndani ya box walikua wanacheza mdako halafu wanarudisha mpira nyuma, hata wakipata kona wanafanya upuuzi uleule tu.