Sijui, ndoto yao hii itatimia lini?View attachment 131716
Ndoto huwa zinatokea kuwa kweli. Miaka yote huwa tunaota tutamaliza ligi way ahead of you. Angalia mambo yanavyojipa msimu huu. Hata Liverpool, Spurs na Everton watamaliza juu yenu. Muda si mrefu mtaanza kugawana jezi kama Portsmouth
Sijui, ndoto yao hii itatimia lini?View attachment 131716
Mkishinda Mnachonga!!!
Kwani na nyie Ubingwa wa mwaka huu sio ndoto?Kama mnavyochonga wakati ubingwa wenyewe ni ndoto.
Kwani na nyie Ubingwa wa mwaka huu sio ndoto?
Bado ni ngumu kujua lakini choice zipo kwa timu 3 tu zile za JUU kabisa...WNWA hawana chao hapo!! (Ukiacha ushabiki pembeni)Kwa utabili wako nani atakuwa EPLC Wa 2013-14.
NB: Bingwa mtetezi umeishamtoa.
Bado ni ngumu kujua lakini choice zipo kwa timu 3 tu zile za JUU kabisa...WNWA hawana chao hapo!! (Ukiacha ushabiki pembeni)
RvP's 6 weeks absence is a hoax...
David Moyes gives latest update on Robin van Persie injury | Football | The Sport Review
Re-occurrence plus age equal healing and fitness complications. Just think about it.
Hujielewi....uwe unasoma kwa makini kilichoandikwa.....
Mimi naongelea habari iliyozushwa na dolemeili kuwa ni uongo, wewe unaleta stori zingine.....
Hizo claptraps zako, Giggsey ameshazidefy, amekuwepo toka EPL imeanza, amechukua ubingwa mara 13 na hadi sasa bado anacheza.....sasa sijui unaongea nini....
Haswaaaaaaaaaaa...Ukiweka ushabiki mbele Hili Ndoo ni la Arsenal mwaka huu.Unamanisha Chelsea, Arsenal & Man City. Ngoja tuone.