Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kifupi Paul anamaanisha Nini hapa View attachment 2379923
Kwamba Anthony sio tishio, coz anaeleweka style yake
Kwa mantiki hiyo anakabika kirahisi sana

Anthony sio mchezaji wa kuamua matokeo timu inapokutana na upinzani mkubwa

Tukirudi nyuma kidogo
man u playing style yake huwa inategemea sana wingers.
Ambapo ikitokea counter attack either ipigwe 11 au 7
Man u bora awe na kiungo cha kawaida lakini sio kukosa wingers walio bora bora zaidi
Hii tunaita identity or culture

Anthony, rashford, Sancho, elanga, martial
Hawafikii ata nusu ya ubora wa cr7 mzee.
 
CR 7 mnamuua kidogo kidogo mazee mbona mess bado anakiwasha ....haki ya Mungu hatakuja kuwasahau nyie nyumbu kwa kumpotezea na kumfedhehesha kwenye ulimwengu wa soka pamoja na heshima aliyonayo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anaenda kucheza na matimu yapo kwenye periodic table of elements , et amonia salphate.....
 
Hili jukwaa si la kuendelea Kubaki kama maneno yenu ndiyo haya.

Tutabaki kwenye TV tukiona matokeo na mtakuja kuona majaabu
 
Kama zile 3 mlizochukua kwa city eti eeeeh.....
 
Kiufupi Ronaldo anaona Ten Hagg Ni Kocha janja janja ,timu linakaa nyuma linavizia kaunta

Cristiano Ronaldo anaripotiwa kusikitishwa na mazoezi na mbinu za Erik ten Hag 👀📰
 
Erik ten Hag on who will be back for the Everton game: "It's difficult to say, Raphael Varane makes progress, and I hope he's available, but I think it will be close."


"From the other players, Harry Maguire [is] not [available] and then it's Aaron Wan-Bissaka and Donny van de Beek, both not [fit]."

#GGMU[emoji123][emoji41]

manutd
 
There are those at Carrington who describe Cristiano Ronaldo often at loggerheads with Ten Hag. They speak of a footballer who complains about the nature and quality of training sessions, and who thinks #MUFC would be better off playing a different way.


#DuncanCastles
#GGMU[emoji123][emoji41]

manutd
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…