Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wanaponaje?? kwa sauti ya Tundu lissu
 
Kawaida sisi kupokea dozi kama hizi lakini bado amna kinacho badirika kuwa sisi ni timu kubwa ndo maana chawa wamejaa hapa kupiga kelele.View attachment 2377043
Hivi sijui ni mimi peke yangu?
Kila nikiuangalia ule mgoli aliofunga Anthony hua mwili wote unasisimka, zile feelings za ule mgoli zinanifanya hata sihisi kama ile mechi tumepoteza.
Ule mgoli wa Anthony peke yake ulikua unauwezo wa kubalance magoli yote 6 ya City kwenye mizani.
Hata tusingefunga zile goli 2 nyingine mimi binafsi nafsi yangu ilikua imesharidhika.
 
Unalizungumziaje hili ndg muheshimiwa


Tuchel katumia £250m ,timu ikawa inarukaruka katimuliwa

Bruno lage £140m ,katimuliwa

Steve Cooper wa Northgarm Forrest katumia £150m , Soon atatukuzwa


Bwana Tena Hagg katumia £250m , timu inacheza kwa uviziaji , tunaambiwa anajenga timu
 
Hao wote wamefanya kazi mazingira tofauti, wana mikataba tofauti basi ni lazima kunakuwa na sababu za kwanini huyu katimuliwa na huyu kabaki.

1. Ten Hag hawezi kufukuzwa wakati wowote hivi karibuni, hiyo ni 100%

2. Tuchel mpaka anatumia £250m alikuwa ameshadumu kwa kipindi kirefu Chelsea kuweza kutambua afanye nini, alichokiamini kimemfelisha na siyo ajabu katika football. Pia mmiliki mpya alikuwa na demands zake bila shaka TT hakukidhi vigezo.

3. Wolves na Nottingham Forest ni clubs za level tofauti kabisa na United. Manchester United demands zao ni kuendelea kuwa 'a top club' na kuwa top club ni kushinda mataji. Vikombe haviji kwa short term goals ni lazima uwe na plan za muda mrefu.

Wolves na Forest wao demands zao kwa kocha ni kubakia au kushiriki EPL kila msimu, hilo ndiyo hitaji lao kubwa, kwahiyo kocha akizingua wana-react haraka kupata mtu atakayewapa wanachokitaka ndani ya msimu husika.

Wolves walianza kusuasua tangu alipoondoka Nuno, hao Forest kwenye EPL wanacheza na kikosi tofauti kabisa na kile cha Championship ni lazima kocha angefeli nacho kwenye top level kama EPL siyo mahali pa kujaribu vitu.

United ku-spend kwao ni kitu cha kawaida na naamini wataendelea kujaribu kila njia kurudi walipokuwa zamani.
 
Shida sio kurukaruka, Tatizo ni upatikanaji wa point 3.
Halafu pia acha kumfananisha 10 Hag na vitu vya kijingakijinga.
Pia msilazimishe falsafa zenu na zetu zifanane, nyie tokea kipindi cha Wenger mnajulikana mpira wenu ni Mariamu Biriani (kandanda tamu, rosti rosti kibao ila baada ya dakika 90 mnajikuta mna draw au mmeliwa ndogo)
Man United kipaumbele chetu kwanza ni point 3 muhimu, halafu hayo mengine ndio yanafata.
Sasa nyie Nyani msitake kutulazimisha binaadamu tufanane na nyie.
Nyie endeleeni kurukaruka kwenye miti sisi tupo chini tunawachora tu.
 
Asernal wangejua wangekuwa wanakaya kimya. Ninachopendea ten Hag hapendinkucheka na Mtu. Cr7 Kaa pembeni maneno meeengi hakuna. Cha muhimu hakuna kumuogopa MTU ndani nje ya uwanja
 
Hata juz mlivizia mkala 6
 
Asernal wangejua wangekuwa wanakaya kimya. Ninachopendea ten Hag hapendinkucheka na Mtu. Cr7 Kaa pembeni maneno meeengi hakuna. Cha muhimu hakuna kumuogopa MTU ndani nje ya uwanja
Ten hagg hakuna Kocha hapo

Endeleen kujidanganya ,Ni swala la muda ,mtaimba wimbo mmoja humu

Mara 100 olesendeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…