Yani #FAZA ronaldo anaumia na matokeo akiwa Sub...Lakini bwana Maguire yeye anafurahia yanayoendelea uwanjani.
Duh!...kweli nimeamini wachezaji wengine ni Mzigo ata wakiwa Benchi, AKIPANGWA KIKOSINI SHIDA...ASIPOPANGWA NDO TABU ZAID, eti Tumfanyeje uyu jaman???...maana ata bench halimfai sasa 😅😅😅.
FA nao pia wajiangalie, sio kila mchezaji anapewa tu kibali cha kuchezea Premiere league, kuna wachezaji wengine wametumwa makusudi kuja kutuharibia ligi yetu pendwa baada ya kelele za "EPL ndio ligi ngumu zaidi duniani" kua nyingi. View attachment 2375519
Uyu dogo halland katutolea maneno ya shombo sana kwanza anakwambia united haikua timu ya hadhi yake kuichezea pili kanasema sis kalikua kanatutamani mda mrefu kweli katuoneshe ngoja tumuone hiyo Leo
Hamna kitu hapo Mzee...we utoke ligi ya uholanzi na zile takwimu utegemee kuja kutamba EPL kwenye high intensity football....achana na viclip vya youtube hvyo Mzee