Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Umepanik Sana ,ila hi Ni football tu, haina haja ya kutoa matusiKumbe unawajua man utd zaid kuliko timu unayoitetea man city. Kweli nyie unaakili za kuku. Huohuo uginyi na injury ndiyo udhaifu wao. Vitu kibao hamuvifanyii consideration unaongea upumbupumbu, hujaangalia weakness za pande zote. Hujui kocha wa utd anahaha kupata wachezaji anaowataka, anatumia remains za wenzie.
Mnapenda kuongelea matarcore yenu ya nyuma. Ishu kikao you cc an talk about, mnaongelea nyegere zenu maaanina kabisa.
Hizi game zote kwa manyumbu ni ngumu sana [emoji23]Umepanik Sana ,ila hi Ni football tu, haina haja ya kutoa matusi
Ten hagg amepewa £250m dirisha moja ,lakin timu inarukaruka tu,
Ili muanze hata kucheza angalau hata kiwango alichofikia Ole Gunnar inambidi Ten hagg apate madirisha manne na kila dirisha apewe £250m , kifupi atumie £1Billions .
Naona mnatamba kipind Cha pili mlimkamata Pep [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnashindwa kung'amua Pep tayari alishapata matokeo ambayo kwavyovyote alijua hamuwez kuyarudisha, ana mech ya UCL ,ana majeruhi ,
Mimi Kama mdau wa Epl nataka nione kwa mpira huu wa Ten hagg wa ujanja ujanja akiokota point ngapi hapa
Manchester United's next six fixtures:
Everton (A) - October 9
Newcastle (H) - October 16
Tottenham (H) - October 19
Chelsea (A) - October 22
West Ham (H) - October 30
Aston Villa (A) - November 6
Kweli kabisa maisha bila changamoto hua yanakosa msisimko.Furaha ya mpira ni pamoja na kupoteza kama hivi.
Uimara wa timu unakuja kufatana na kupoteza game.
Mkuu...Sitaki kusema sana ila Historia inaonyesha Mabeki wengi wazuri...huwa wakipata injury tu basi wanaporudi viwango vyao huwa chini na huwa wanapoteza form zao.awa city nao wasipotibu tatizo lao la kuluhusu migoli ovyo itawachukua muda mrefu sana kubeba ligi ya mabigwa barani ulaya
Ndugu Mie City ila lile goli la Antony ni FAR-POST ya hatari, kijana ana kitu mpeni muda na nachokiona mkitaka mpate THE BEST OUT OF ANTHONY...acheni kupaki basi mcheze mpira wa kutandaza.Lakini waaaapiiiiiii[emoji3064][emoji3064][emoji3064]
FA nao pia wajiangalie, sio kila mchezaji anapewa tu kibali cha kuchezea Premiere league, kuna wachezaji wengine wametumwa makusudi kuja kutuharibia ligi yetu pendwa baada ya kelele za "EPL ndio ligi ngumu zaidi duniani" kua nyingi. View attachment 2375519
Watakuja hapa kubisha na kejeri za kutoshaHizi game zote kwa manyumbu ni ngumu sana [emoji23]
Hili jamaa jini , niliwaambia Liverpool waache kumfananisha na Nunez ,ambaye Ni one season wonder ,Lakini waaaapiiiiiii[emoji3064][emoji3064][emoji3064]
FA nao pia wajiangalie, sio kila mchezaji anapewa tu kibali cha kuchezea Premiere league, kuna wachezaji wengine wametumwa makusudi kuja kutuharibia ligi yetu pendwa baada ya kelele za "EPL ndio ligi ngumu zaidi duniani" kua nyingi. View attachment 2375519
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nyumbu waja laana nyie mtu na akili zake timamu anashabikia nyumbu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2375765