awa city nao wasipotibu tatizo lao la kuluhusu migoli ovyo itawachukua muda mrefu sana kubeba ligi ya mabigwa barani ulaya
sema antony hat trick.Antony Matial nae hatrick
Sure thing ila sio kwa upuuzi wa luke shaw yeye anaua offside alaf ananyoosha mkonoTrust the process.......
Kunywa maji sasa mkuu,Hapa ndio unapoona tofauti ya Man United na Arse
Mashabiki wa United hua hatusapoti upumbavu pale timu inapozingua, iwe kazingua mchezaji, kocha au mmiliki hua tunawachana live na tunaonyesha reactions.
Nyie Arsehua mna excuse hata mkitiwa kidole na bado mtasifia juu na hamtaki timu, machezaji au kocha akosolewe.
Kwa huo ujinga wa city wakuruhusu magoli ovyo hawezi kubeba UEFA na Ata kama atabeba itamchukua mda mrefu sana labda timu kama Real Madrid,Bayer Munich wawe hawapo kweny UEFA huwezi kubeba UEFA Kam tu nyumbani kwako tu unauwezo wa kuruhusu magoli zaidi ya matatuHuyu city sasa alichobakiza ni kufukuzia uefa tu sasa hv
Duh😀Kipigo cha fumanizi la mke WA mtu huwa ni kikali Maana hapo kuna njemba zimekuja na mafuta kabisa ,leo Man u mmeyakanyaga
Yap hili ni kweli piaKwa huo ujinga wa city wakuruhusu magoli ovyo hawezi kubeba UEFA na Ata kama atabeba itamchukua mda mrefu sana labda timu kama Real Madrid,Bayer Munich wawe hawapo kweny UEFA huwezi kubeba UEFA Kam tu nyumbani kwako tu unauwezo wa kuruhusu magoli zaidi ya matatu
Kipindi cha pili walau tumeonyesha uhai.6 kwa 3 sio mbaya wakuu kuliko ingekuwa 6 kwa 0.
Baada yaKwa huo ujinga wa city wakuruhusu magoli ovyo hawezi kubeba UEFA na Ata kama atabeba itamchukua mda mrefu sana labda timu kama Real Madrid,Bayer Munich wawe hawapo kweny UEFA huwezi kubeba UEFA Kam tu nyumbani kwako tu unauwezo wa kuruhusu magoli zaidi ya matatu
Ten hag kuna kitu kakijenga, kimeonekanaKipindi cha pili walau tumeonyesha uhai.
Kwa hizo goli 3 tulizozipata mbele ya city sio kitu cha kubeza hata kidogo.
Kwangu mimi hii game ya leo najihesabia sisi ni washindi ingawa point 3 zimeenda kwa city.
Goli la Anthony ndio goli bora kabisa kwa mwezi huu wa October.
Wanaombeza Anthony wana chuki zao binafsi inabidi wapuuzwe ingawa Anthony nae anapaswa pia abadilike kwa kufosi kufunga wakati kuna wachezaji wengine wapo kwenye position nzuri zaidi.
Huu ni wakati sasa wa Bruno Fernandez kuanzia Sub, jamaa kwa sasa amepoteza umakini na anapelekea kuigharimu sana timu kwa kupoteza kwake mipira mara kwa mara ingawa kuna baadhi ya mechi hua anatuokoa.
Haaland ni balaa kubwa tuliloletewa kwenye Epl na hatuna budi kukubaliana nalo.
kaka zigeuzee kuwa chapati huone mambo...Ten hag kuna kitu kakijenga, kimeonekana
Apewe muda zaidi
Kuna deadwoods nyingi sana inabidi aziondoe
6 sio nyingi sana