Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Niamin ,Ten hagg Ni kocha wakawaida Sana, hamkuti hata ole

Mtakuja kukubali baadae Sana

Kocha unatumia £250m ,timu inarukaruka tu
 
Tukishinda game ya leo dhidi ya city, itakuwa ngumu kwa Chelsea na Tottenham kutufunga napia tutakua katika hali nzuri ya kiushindani msimu huu.
Kwann hampend kufanya analysis ya game zenu muujue Ukweli?

Man u karibu game 3 za mwisho ameshinda lkn kwa ushindi mgumu au wa janja janja ,sio kwa ku control game

Kwa situation hizi, tegemea ushindi wa kubahatisha tu
 
Fans wanakimbia uwanja jamani hahahahahahaha

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Hapa ndio unapoona tofauti ya Man United na Arse

Mashabiki wa United hua hatusapoti upumbavu pale timu inapozingua, iwe kazingua mchezaji, kocha au mmiliki hua tunawachana live na tunaonyesha reactions.
Nyie Arse
hua mna excuse hata mkitiwa kidole na bado mtasifia juu na hamtaki timu, machezaji au kocha akosolewe.
 
Last season wachezaji walimuangusha ole lakini Msela alikuwa anamuwezea Sana tu kipara.
Ole aliangushwa na Bodi kumuingilia kumletea Ronaldo,

Na pia ratiba ya man u haikuwa nzuri,

Ila ole aliwawezea vijana kuwa develop hapo man u

Ole Ndiye alikuwa anacheza ile Kaunta halis ya man u , alikutana na timu ndogo atazimiliki bila shida, big teams atazipiga kaunta

Sidhan Kama Kuna Kocha ana rekod Bora kwa Pep Kama Ole
 
uku pambano linaendelea, tufanye maamuzi chap chap....tunazika hapa au tuna'safirisha maana maitii imechakaa sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…