Kocha la Mpira ETH kwny first press alipoulizwa anazungumziaje ubora wa Liverpool na Man City na ana mpango gani kukabiliana nao,
Alijibu
"WE SHALL BATTLE THEM ALL"
.
Kauli ya kiume sana hii, na tushaanza shughuli.
Morale ikiwa juu hata mambo yanayoonekana kutowezekana huwa yanawezekana.
Sema tulimiss sana timu la mpira, hatujawa uwanjani muda mrefu.
GGMU