DK 40 mpira unaisha maana watu 5 wanakuwa washapigwa red cards na Sheria haziruhusu team kuwa na wachezaji chini ya 7 uwanjani😆😆😆The most respectful and peaceful team everView attachment 2364688
Nakubali..
Akacheze tu huko national teamMagwaya ako na potential gani ambayo utd hatuioni ? Panga pangua timu ya taifa jamaa hakosekan ana anakula minutes za kutosha,,,,
Au Ni ubovu wa miaka mingi wa kiungo chetu unamfanya awe exposed ???
Kifupi mkuu Sancho ni inside forward na Antony ni winger. Kabla Antony hajaja Sancho kacheza chini ya ETH hapo kulia. Eth anataka mtu atakaye hold width.
Mfumo wa kisasa Mtu kama Sancho ndio anatumika sana ila ETH anatumia mfumo wa kizamani hasa huko kulia.
Sema mechi ni nyingi sana wote watacheza na kutumiwa Sancho atacover nafasi zote 2, bila Antony na Greenwood ina maana tungeanza msimu na Rashofrd na Sancho tu, akipata injury mmoja tu ni disaster.
Yanakera sana kwa kweli, yanatukosesha burudani zetu za weekend.Haya mashindano ya kimataifa nayo ya kipuuzi tu.
Tumia hio hio definition yako soma hichi kipandeNakubaliana na wewe kabisa kwamba EtH anapenda mtu anayependa ku hold width. Mchezaji anapokaa pembeni, karibu na mstari anawatengenezea nafasi/channel/gaps wachezaji wengine
Clarification kidogo: Sidhani kama upo sahihi kusema EtH anatumia mfumo wa kizamani upande wa kulia. Ku hold width siyo kigezo cha kusema Antony ni traditional winger, Antony ni inverted winger.
Labda nikupe definition ya inverted winger
"If a left-footed wide player plays on the right wing, or a right-footed player plays on the left wing, he is described as an inverted winger.
Teams use inverted wingers to come inside and off the line to combine with team mates.
Often coaches will use overlapping full backs on the outside to add extra players to the team’s attack, and to maintain the team’s width as the inverted winger comes inside."
Sancho(kushoto) na Antony(kulia) wanacheza vizuri wakiwa inverted na pia wote wana hold width. Nadhani tofauti yao ni defensive na attacking attributes. Sancho ni inside forward while Antony inverted winger
huyu Manchester City anafungwa vizuri tu hapoOctober Games
1 Oct
Arsenal vs Tottenham
2 Oct
Man City Vs Man U
08 Oct
Arsenal vs Liverpool
15 Oct
Liverpool vs Man City
18 Oct
Arsenal vs Man City
Man U vs Tottenham
Liverpool vs Westham
22 Oct
Chelsea vs Man U
Terrorism in October!!!
Tumia hio hio definition yako soma hichi kipande
-to come inside and off the line to combine with team mates
-Full back overlaping in place ya winger.
Huyu mkuu sio Antony na ndio nilichoelezea huko juu, Rashford ama Martial kushoto ama Ronaldo na mawinga wengine wa kisasa ndio wapo hivi, wanaingia ndani kulink na forward wengine. Even kina mane, Salah na wengineo.
Antony anahold width, yes ni inverted ila haspend muda mwingi kwenye box kama karibu na kibendera, hivyo anakua ni traditional winger zaidi kuliko inside forward.
Kwamba Traditional winger hawezi kuwa inverted? Ji sung park? Robert pires? Even Duff amechezeshwa kama Inverted.Rudia kusoma paragraph yako ya mwisho mkuu. Pengine umepitiwa
How can a winger be inverted and traditional at the same time?
Ni kama maji yawe moto na baridi simultaneously
Ni kweli Antony siyo inside forward, lkn pia siyo traditional winger. Ni inverted winger.
Winger akishakuwa na tendency ya ku cut inside tayari ni inverted, kigezo siyo muda mwingi anaotumia karibu na kibendera au box.
Pita hapa chini mkuu uone tofauti ya inside forward na inverted winger
"The inverted winger normally starts out wide liker a normal winger near the touchline, but will instead cut inside into the midfield once in possession while looking for an opportunity to cross or play a dangerous through ball to the strikers.
The inside forward, on the other hand, will normally cut inside without the ball and aim to receive it near the 18 yard box, where he will hopefully have more chances to take shots at the opposition keeper as compared to the inverted winger.
Raphinha, previously at Leeds United is an excellent example of an inverted winger, as he would pick the ball out wide, cut inside and try to find Bamford with a cross or through ball. Riyad Mahrez in the Right Wing position is also another perfect example, while the likes of Mohammed Salah and Marcus Rashford are examples of inside forwards as they like to drift inwards even without the ball, then once in possession, they will typically take on their man then look to fire a shot towards goal.
However, an inside forward will also look to find his teammates in better positions with through balls and crosses, however the regularity of these happening will be different compared to an inverted winger. In the same vein, when presented with an opportunity, the inverted winger will also take shots towards goal, though minimal."
Waingereza matapeli.Magwaya ako na potential gani ambayo utd hatuioni ? Panga pangua timu ya taifa jamaa hakosekan ana anakula minutes za kutosha,,,,
Au Ni ubovu wa miaka mingi wa kiungo chetu unamfanya awe exposed ???
Level za daily mail ni kama Uwazi, risasi, Ijumaa etc.Waingereza matapeli.View attachment 2366874
Hujui chochote kuhus mpiraKwa mtazamo wangu mimi kama shabiki wa United timu hii ilihitaji sana mchezaji ambaye anaweza kucheza vizuri kama false 9 mwenye energy badala ya winger.
Kwangu mimi naona tungempata Lautaro Martinez, au Ivan Toney.
Kama striker wetu wangeweza kufanya hata nusu ya wanachokifanya Toney, Lautaro Martinez au Patrick Schick tungekuwa na kikosi tishio sana.
Safi sana, umeelezea vzur sio wengine wanaleta mihemko ambayo haipo, hawajiuliz kwann msimi huu Gurdiola kauza Sterling kabak na Grealish? Au kwann Grealish ana namba mbele ya Maharez? Mpira unabadilika sanaMartial? Ni mzuri kama False 9 kushinda wengi kwenye hio list, Lautaro sijamuangalia sana hivyo ngumu kutoa judgement yangu. Kama tunasajili striker na Martial yupo tunahutaji mtu atakaetupa kitu tofauti na Martial ndio maana ETH alimtaka Arnautovic
Tunahitaji sana winga wa kulia mkuu, hasa kwa Mfumo wa ETH, lengo si tu Antony kufunga ama Kutoa assist, bali ni kukusanya kijiji na kutengeneza magepu ili wengine wayatumie. Kwa hizi mechi 2 nilizomuona pia sio mzigo, anakaba sana na anakaa pembeni kabisa ili iwe rahisi wengine kumuona. Dalot pia atapeform vizuri akipata mwenzake wa kukaba.
Hio €100 tumelipa tu, hana thamani hio.
Sawa mkuuHujui chochote kuhus mpira