raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,819
- 36,793
Hamna 😀 kwa dribbling yake naona 100mil ilikuwa nying kwake ila tumpe mdaBoss, unaonekana haumpendi tu Antony! Maana unamkosoa kupitiliza bila sababu.
Antony alikuwa akiwajibu washabiki wa Gooners!
Y A M E T I M I A [emoji23][emoji23]Arsenal mnaojipitisha humu, screen shot table kabla ya jumapili ili mtunze kumbukumbu kwamba mliongoza ligi.
ERAS COME TO AN END
Hiyo tabia hajaianza leo, kaianza tangu akiwa Ajax. Sijaona ubaya wake leo, pasi zilikuwa zinafika na alijiamini vizuri licha ya kuwa ni game yake ya kwanza.Yah man jamaa hayupo midomon mwa watu ila anaupiga mwingi sana
Anton aache kucheza na jukwaa
Inakuhusu??!, Ulitoa wewe au timu yako??!, Kalale huko.Hamna [emoji3] kwa dribbling yake naona 100mil ilikuwa nying kwake ila tumpe mda
Bila hii sub goli zingerudi zote, kuna ule muda tulipigwa msako kwa zaidi ya dk 10 tunakabia macho tu hadi goli la kwanza likarudi.Appreciation kwa Fredy baada ya kuingia.View attachment 2345885
Hapo wewe angalia tu matokeo ya man u hayo mengine achana nayo[emoji16][emoji16]Bado kdg upatie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah! hadi Dae gil the slave hunter umekubali!!?.....Thanks MkuuMpira una matokeo matatu
Man u, wame deserve kupata points 3.
Big up red devil[emoji109]
#COYG
[emoji1787][emoji1787]nyingi ndiyo lakin value anayoongeza kikosini, subiri uone. Tulimhitaji zaidiHamna [emoji3] kwa dribbling yake naona 100mil ilikuwa nying kwake ila tumpe mda
Martinez miezi 6 nje...Dah namna tulivyoanza ligi sikuwaza inaweza baki point tatu kuwa kileleni.
Wengi hawajaonaAppreciation kwa Fredy baada ya kuingia.View attachment 2345885
, 🤣🤣 kabsaa chief
Tulichelewa sana kuwa na Eriksen.
Acha uroziMartinez miezi 6 nje...
Halima Gwaya anarudi kama kawa.,
Msije.sema.sikuwaambia...