Sir jim na kampuni yake INEOS ndio inahusika na shughuli zote za kimpira japo familia ya glazer ndio ina hisa kubwa
Pochetino anataka full mandate, kitu ambacho sir jim hakitaki
So pochetino sio chaguo la sir jim.
Glazer ameona huu ni u3enge tangu tuwaachie timu haifanyi vzuri wanamleta pochetino kinguvu. Rejea aya ya kwanza
Tayari maboss hawapo kwenye terms moja
Kocha na sir jim, wapo katika mtazamo tofauti
Mashabiki hawana imani na wachezaji
Kwa Wachezaji kila kocha anaekuja mbinu zake hazitoshelezi
Swali
Nani wakuinusuru nyumbu ?
View attachment 3711137