Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Acha nimuachie tu kocha points zake maana yeye ndiyo anakaa na hiki kikosi mazoezini.

Ila Rashford hayupo clinical akikaa kama CF. Huyo McTominay lazima kuna kitu Casemiro hafanyi vizuri maana kama suala ni ku-settle Anthony kaingia moja kwa moja First XI.
 
Rashford anacheza Role ya Tadic, ana fight na kulink up, kufunga sio priority ya kwanza kwake. Martial akipona atakuwa ndio striker wetu link up play yake ni 2nd to none Epl pale, ila kwa Sasa Rashford ni bora kuliko Ronaldo kwa huo mfumo.
 
Casemiro kwa nini kocha hampangi..he is not fit au nini hasa..

Hapo katikati sijapaelewa..

Anyway,GGMU
Anasubiri mpaka tubatuliwe goli za kutosha first half ndo amlete, kiufupi kikosi amekipanga kimazoea sana.

Ngoja tuone.
 
Ukocha ni kaxi ngumu sana, leo Rodgers anatukanwa na mashabiki uwanjani livelive wakati alikuwa ni kipenzi chao kwa muda mrefu, mara nyingi hata kama tatizo ni wachezaji machoka hubeba mzigo (ref Man Utd).
Lazma wabebe lawama, asa kama ten hag gemu ya leo unamuachaje casemiro na ronaldo nje at the same time mpuuz rashford yupo ndan
 
Rashford anacheza Role ya Tadic, ana fight na kulink up, kufunga sio priority ya kwanza kwake. Martial akipona atakuwa ndio striker wetu link up play yake ni 2nd to none Epl pale, ila kwa Sasa Rashford ni bora kuliko Ronaldo kwa huo mfumo.
Link up play ya Martial ni second to non..Akicheza hata huyu Rashford tusiyempenda huwa anacheza vizuri kiasi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…