Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hata mie degea naona anastahili kubaki pia na babu Ronaldo kwa mkataba wa mwaka mmoja mbele.
 

Fred anaweza kubakishwa kama squad player bado ana vitu vyake.
 
Ongeza elanga humo fukuzia mbali

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Fred ni mzuri mkuu sema sisi ndo tuna mchezesha namba ambayo sio yake.
 
Skizeni nyie takataka ..mumeona usajili tulofanya? Nani ayiogopi Chelsea hahahaha nacheka uku naogopa ..maana tunaenda kumwaga damu EPL ..hahaha aise mutupe kombe letu tu Yani 😂😂😂
 
Team ya taifa ya Brazil umeiangalia mechi ngapi?
 
Skizeni nyie takataka ..mumeona usajili tulofanya? Nani ayiogopi Chelsea hahahaha nacheka uku naogopa ..maana tunaenda kumwaga damu EPL ..hahaha aise mutupe kombe letu tu Yani [emoji23][emoji23][emoji23]
Koulibaliy Anavyoshika watu[emoji16]
 
Ya kweli haya?
Yanaingia akilini?

--------
Mathias reveals his brother Paul Pogba buried a hyena in the center of Old Trafford weeks before leaving, Martial witnessed it and immediately got injured. Investigations continue.
[ @CNews ]
Tutasikia mengi sana
 
Uamuzi upo mikononi mwake, achague kubadilika au kuendelea na tabia yake ya kiuchezaji alionayo, hata akipewa mkataba mpya bila ya shaka utakuwa na punguzo la mshahara.

Changamoto ya David ni kukosa kwake kujiamini, kuna nyakati jana alijaribu kuanzisha mpira kwa eriksen bila ya presha mpaka nikawa nashangaa na alifanya hivyo takribani mara tano.

Zilizobakia zote alikuwa anaangua nazi kwa goal kick.

Binafsi nalisubiria pambano kati ya ten hag dhidi ya bodi ya klabu na refereee wakiwa ni wachezaji.

Mmoja wapo ni huyo de gea na mkataba mpya.
 
1.Rashford
Atapewa kandarasi mpya kwa dhumuni la kulinda thamani yake, kuhusu kiwango chake bado hakiridhishi japokuwa mechi ya liverpool aliamka vizuri.

Tusubirie kitakachojiri, unadhani zile kelele za kutakiwa PSG ni za utani,
Hapana hapana,
PR team yake ipo makini.

Unatafutwa mkataba mwengine wa gharama baadae arudi kwenye career yake mpya ya kuwapa chakula watoto na kuandika vitabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…