Duuh game ya jana sikuiona hivi ilikuwaje maana watu walikuwa hawatak wa wachezee OT kwamba wakichezea OT wanapakatwa vip na mechi ya jana walichezea OT??
Kocha anahitaji muda, wachezaji wengi ni 30+yrs huu ulikuwa ni muda wa kutengeneza kikosi kipya kwa hiyo ingekuwa tabu kwa kocha yeyote yule. Lakini ligi bado haijaisha
Hawa sunderand wanatufanya sisi kuwa womanchester badala ya manchester, yote haya kayataka furgason kutuwekea msukule wake moyes
hapana mkuu siyo "womanchester" ni Masister United.
hapana mkuu siyo "womanchester" ni Masister United.
daaaah let give them a break banaaaaa
Usipanic plsssss....nakufahamu kupitia posts zako....sihitaji kukuona kwa appearance ndio nijue umechanganyikiwa. Posts tu zinaonyesha ulivyochanganyikiwa. Pole lakini...sisi ngoja tuendelee kukucheka!!!!
Wenye nyumba wamekimbia? SUNDERLAND 2 - 1 MANCHESTER UNITED.
Hali ni mbaya sana. Mechi ya 3 mfululizo Manchester United wanapoteza kwa 2-1. Duuh!:tea:
#ManUnited XI: De Gea, Rafael, Vidic, Evans, Evra, Valencia, Carrick, Cleverley, Giggs, Januzaj, Welbeck.
Subs: Lindegaard, Smalling, Hernandez, Fletcher, Kagawa, Buttner, Zaha.
Let's do this #ManUnited
What is the fuss all about?
so bad we didnt do it poor us.
Ask David Moyes!
na tuatendelea kusikitika mpk moyes na benchi lake la ufundi lisilojitambua litakapooondokainasikitisha sana
na tuatendelea kusikitika mpk moyes na benchi lake la ufundi lisilojitambua litakapooondoka
Kuanzia sasa sina imani tena na kocha David Moyes, natangaza rasmi kuacha kuangalia mechi za timu yangu ya Man Utd hadi hapo huyu mvimba macho atakapotimuliwa.
Kwa kiwango kinachoonyeshwa na timu uwanjani ni wazi kuwa Moyes hana uwezo wa kuifundisha timu yetu ya Man Utd, yeye alizoea kushikilia nafasi za saba hadi kumi ndiyo maana unaona timu yetu imehamia hapo wakati hata everton tu wako juu yetu.
Utakuwa ni zaidi ya uendawazimu kuendelea kumpa muda zaidi Moyes wakati ameonyesha dhahiri kuwa timu ya Man Utd ni kubwa sana kwake na hana uwezo wowote wa kuitoa hapo alipoifikisha.