Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Haifanyi kazi kaka.....Hebu angalia vizuri tena

Mimi natumia sasa, na game naitazama live

Screenshot_20220901-230245~2.png
 
Poor first Half
Elanga ni wakucheza Carabao anazidiwa mbali sana na Garnacho
Rashford bado sana kufanya tutambe
Elanga naye ni player yule mkuu? Yule dogo atapata nafasi hapo Utd ila vikosi vingine vyote vya EPL kwa ila nafasi anayocheza, ni wa benchi moja kwa moja na hata leo hii akitangazwa kuuzwa hakuna team itakayo mnunua (labda mkopo).

Rashford sijui huwa wanasubiri muujiza gani kutoka kwake, dogo hawezi na hatawahi kuja kuwa bora happ Utd (hana promising talent), badala ya kupandisha kiwango kama makinda wengine yeye alianza na kiwango kizuri na sasa mpira wake unaisha..


Hii Utd bado sana hasa kwenye eneo la umaliziaji, hatuna watu, hawa akina Rashid, Elanga& Martial tunajidanganya tu.
 
Back
Top Bottom