Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna ads on mpaka kufikia hiyo 20M ila kitu kizuri ni kuwa tumeweka buy back clause kwenye mkataba pia
 
Dah aisee watu wengine ni walalamishiiii
 
Bernardo Silva to Barcelona [emoji102]

Yamebaki masaa 24 dirisha lifungwe. Kuna habari zinasambaa huenda kesho kukawa na transfer activities kwa United. [emoji102][emoji352]
 
Bernardo Silva to Barcelona [emoji102]

Yamebaki masaa 24 dirisha lifungwe. Kuna habari zinasambaa huenda kesho kukawa na transfer activities kwa United. [emoji102][emoji352]
Labda benardo Silva wa buza
 
Siku ya furaha ni leo,Ni leo wakati wa furaha ni sasa ni sasa,Ndugu yangu furahi hata mimi nafurahi maana furaha yaja.

Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha[emoji16][emoji16][emoji16]

Prediction

Leicester city 1 Manchester united 3

[emoji355]4:00 usiku

#GGMU[emoji83][emoji83]
View attachment 2341543
 
Nawapa taharifa nyumbuzi

“Jana mwenge ulikuwa kwa A.Villa amepiga nao picha. j2 mwenge utakua zamu yenu kupiga nao picha mkae kwa kutulia”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…