Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,127
- 54,249
Ten hag amcheki huyu beki vanderson. Right deffender but inverted.. he has speed, dribbling, attacking.. halaf age ya kina antony.Naona tumetangaza oficially deal la Antony.
who & what is next?
Unfortunately naskia tunamtaka Dest..Ten hag amcheki huyu beki vanderson. Right deffender but inverted.. he has speed, dribbling, attacking.. halaf age ya kina antony.
Kama Fofana kauzwa kwa 60M unashangaa Anton kwa 90M? Hao hao Chelsea tena wametoa 90M kwa Gvardiol wa RB ila ikitoa Man U kelele, hapo ndio hua nakubali man U ni kubwa sana na inafatiliwa sana dunianiHuyu antony hata goli 10 eredivise hana afu ndo wakumnunua kwa zaidi ya 90m pounds kweli?
Dest he is more of attacking but defence wise bado sana. The guy ana dribbling nzur ila bado sanaUnfortunately naskia tunamtaka Dest..
Dude he is 34? Labda atumike one seasin ila for future nope
Huyu kocha naona anapendelea waamerica kusini, ni jambo zuri ila huyu Gaitan ni mkubwa hawezi kuwa wa muda mrefu.
Alafu waulize walimnunua Lukaku kwa hela ngapi kutoka Inter na wakamuachia kwa hela ngapi!!?Kama Fofana kauzwa kwa 60M unashangaa Anton kwa 90M? Hao hao Chelsea tena wametoa 90M kwa Gvardiol wa RB ila ikitoa Man U kelele, hapo ndio hua nakubali man U ni kubwa sana na inafatiliwa sana duniani
Hapo ndio utaamini Man U ni kubwa sana, bei za wengine huwezi sikia kelele itoe hela man u sasa mpaka ma pundit wataongea 😂Alafu waulize walimnunua Lukaku kwa hela ngapi kutoka Inter na wakamuachia kwa hela ngapi!!?
Hiyo post nimeiweka kiutani.Huyu kocha naona anapendelea waamerica kusini, ni jambo zuri ila huyu Gaitan ni mkubwa hawezi kuwa wa muda mrefu.
Ktk dirisha hili la usajili huyu mtu endapo akapewa nafasi atashangaza sana watu wengi na mapungufu yetu makubwa sana tuliyopitia msimu uliopita yataonekana. Huu unaweza kuwa ndio usajili bora zaidi kuliko hata wa Lisandro na Malacia.hapa bado striker na full back tu kazi tumalize kipa tayari.View attachment 2339133
Huyu dogo ni average tu. Sioni utofauti wake na Dalot.Unfortunately naskia tunamtaka Dest..
Nilitaka kuuliza huyu Gaitan ndio yule mwenyewe au mwanaye.Hiyo post nimeiweka kiutani.
Huyo gaitan nyakati za ferguson tulivumishiwa sana ya kwamba tunamtaka.
Dirisha la usajili likifunguliwa tu na habari zake zilikuwa zinavumishwa.
Ni yeyeeeeNilitaka kuuliza huyu Gaitan ndio yule mwenyewe au mwanaye.
Wewe fala ebu amka acha kuota[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tukishinda kesho tunaingia top 5, na tukishinda jumapili tunaingia top 4.
Eras come to an end.
Tatizo nini kwani?Wewe fala ebu amka acha kuota[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alisikika kichaa mmojaTukishinda kesho tunaingia top 5, na tukishinda jumapili tunaingia top 4.
Eras come to an end.