Yes katika mechi tulizofungwa timu ilicheza vizuri ila tulifungwa.Sio kila game team itacheza vizuri kama unapata point 3 na cleansheet ni jambo zuri
Bruno anapewa nafasi kucheza kwa sababu ya uwezo wake wa kutengeneza nafasi.Bruno anazingua kichizi..
It's big time ETH amsogeze Erisken juu kwenye baadhi ya mechi Bruno naye aanzie benchi.
Shida ni kwamba mashabiki wa Man u wengi hawanaga heshima kwa wachezaji, ni kama mashabiki wa Madrid na Barca.Bruno anapewa nafasi kucheza kwa sababu ya uwezo wake wa kutengeneza nafasi.
Sasa hivi timu yetu haina uelewano mkubwa hivyo unahitaji sana mtu anayetengeza nafasi na kuwa na goal threat kwa mpinzani akiwa eneo lolote.
Angalia goli alilofunga out of a blue kakupa point tatu.
Ikiwemo wewe mwenyeweShida ni kwamba mashabiki wa Man u wengi hawanaga heshima kwa wachezaji, ni kama mashabiki wa Madrid na Barca.
Kivipi elezea.Ikiwemo wewe mwenyewe
Wewe una waheshimu Martial na Rashford??Shida ni kwamba mashabiki wa Man u wengi hawanaga heshima kwa wachezaji, ni kama mashabiki wa Madrid na Barca.
[emoji1]Huyo Gakpo wa kawaida saana ,yaani ni kama elanga tu.
Bora antony
Kuwazuia kwenye nini nyie ni team ya ovyoGGMU FOREVER HAKUNA WA KUTUZUIA BEST CLUB IN DA WORLD [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
World gan unayoizungumziaGGMU FOREVER HAKUNA WA KUTUZUIA BEST CLUB IN DA WORLD [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Huyu antony hata goli 10 eredivise hana afu ndo wakumnunua kwa zaidi ya 90m pounds kweli?
Kwa soko la wachezaji kwa sasa limebadilika saivi 70M hadi 100M is common kwa potential player (wale wanatarajiwa kuwa empowered) i.e: Nunez,Grealish et al.Huyu antony hata goli 10 eredivise hana afu ndo wakumnunua kwa zaidi ya 90m pounds kweli?
Sure thing,yaan kwa performance ya jana,itachochea sana ujio wa Anthony.Kwa akina Elanga bora tu pesa itokeView attachment 2337382
Left footed RW tumekosa kwa muda mrefu hii itampa Ten Hag options za kutosha kikosini.Sure thing,yaan kwa performance ya jana,itachochea sana ujio wa Anthony.
I am glad tumeperform vibaya kabla ya dirisha kufungwa na gaps zimeonekana.
That's not your money...that's UNITED'S money....wanajua zaidi yako wewe na mimi...Wewe chagua kuwa shabiki au haterHuyu antony hata goli 10 eredivise hana afu ndo wakumnunua kwa zaidi ya 90m pounds kweli?