Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,397
- 19,323
Unaishi naye??2 years bila football...huyu Greenwood atakuwa the same kweli??
Unateseka ukiwa wapi kim nanaNyie kenge mmeshaanza kuwa na maneno maneno humu
Wkend sio mbali
Alichofanya Bruno baada ya goli la Salah ndiyo captain anapaswa kuwa na tabia kama zile. Liverpool baada ya goli la kusawazisha walishaanza ku-gain momentum na ambacho kilikuwa kinatokea ni ku-press zaidi kwasababu goli lingine linawahakikishia alama.Yes ila aache kujiangusha angusha kijinga jinga,na kupoteza muda bila sababu.
Mfano ile ya kung'ang'aniana mpira baada ya goli ya salah ni uf*****ing.
Sunk cost fallacy. Wanaamini wamewekeza fedha nyingi hawako tayari kukubali kula hasara.Bodi ilikataa Phil Jones kuuzwa. Na juzi ilikataa ofa ya Chelsea ya kumchukua Maguire.
Kuna maamuzi kocha anaamuliwa na bodi.
Nina uhakika msimu ujao lazima tutakuwa na nahodha mpyaApewe hata sasa.
De Gea abaki, kama atakubali awe namba 2 na kipa anayekuja msimu huu akubali msimu ujao awe namba 3. Henderson akifanya vizuri awe namba 1 au auzwe kocha anunue kipa atakayemhitaji.Hawa ni wachezaji wanaomaliza mikataba yao mwakani. Awamu ya pili ya kujenga timu mwakani ni kuondoa hawa wote bila kugeuka nyuma.
David Degea, Tom Heaton, Diogo Dalot, Luke Shaw, Phil Jones, Fred, Cristiano Ronaldo, Tahit Chong, Axel Tuanzebe na Marcus Rashford.
Nimeona mahali nikajiuliza ni kweli au story tuu za wadauMaximin to Utd!
Degea lazima atakuwa replaced, naona kashindwa kuacha tabia ya kubutua butua mipira.De Gea abaki, kama atakubali awe namba 2 na kipa anayekuja msimu huu akubali msimu ujao awe namba 3. Henderson akifanya vizuri awe namba 1 au auzwe kocha anunue kipa atakayemhitaji.
Ronaldo awe offloaded sasaHawa ni wachezaji wanaomaliza mikataba yao mwakani. Awamu ya pili ya kujenga timu mwakani ni kuondoa hawa wote bila kugeuka nyuma.
David Degea, Tom Heaton, Diogo Dalot, Luke Shaw, Phil Jones, Fred, Cristiano Ronaldo, Tahit Chong, Axel Tuanzebe na Marcus Rashford.
Mshahara wa David ni $350k/weekly nina uhakika kama wale vilaza juu kule wataleta proposal mpya kwake itakuwa ni $250/weekly kwa miaka 4.De Gea abaki, kama atakubali awe namba 2 na kipa anayekuja msimu huu akubali msimu ujao awe namba 3. Henderson akifanya vizuri awe namba 1 au auzwe kocha anunue kipa atakayemhitaji.
Huyu karuhusiwa kuondoka toka kitambo sana ila hakuna timu iliyotayari kuwekeza kwake. Unaamini kweli sisi tunamzuia?Ronaldo awe offloaded sasa
It was ETH tactic and among reason United won the game against Liverpool,United ilipoteza against Brentford sababu tulicheza build up from the back na Brentford walikuwa wazuri kufanya pressing so walivyo-press tulifanya makosa wakatufunga magoli ya haraka.One of the strength ya mfumo Klopp ni high pressing ya 3 forward (Mane/Diaz,Firmino & Salah) so ku-neutralize their strentgh DDG aliambiwa awe anapiga long ball kuwa-bypass Liverpool foward upande wa TAA ambaye ni weak link kwenye defence ya Liverpool.Hii tactics aliitumia Mourinho tukawafungwa Liverpool 2-1 magoli alifunga Rashford,DDG alikuwa anapiga long ball kwa Lukaku ,Rashford anawin second ball na kuwafungaDegea lazima atakuwa replaced, naona kashindwa kuacha tabia ya kubutua butua mipira.
source?Maximin to Utd!
Good. Noted.It was ETH tactic and among reason United won the game against Liverpool,United ilipoteza against Brentford sababu tulicheza build up from the back na Brentford walikuwa wazuri kufanya pressing so walivyo-press tulifanya makosa wakatufunga magoli ya haraka.One of the strength ya mfumo Klopp ni high pressing ya 3 forward (Mane/Diaz,Firmino & Salah) so ku-neutralize their strentgh DDG aliambiwa awe anapiga long ball kuwa-bypass Liverpool foward upande wa TAA ambaye ni weak link kwenye defence ya Liverpool.Hii tactics aliitumia Mourinho tukawafungwa Liverpool 2-1 magoli alifunga Rashford,DDG alikuwa anapiga long ball kwa Lukaku ,Rashford anawin second ball na kuwafunga
sasa anafuata fuata timu yetu ya nini?, si alisema anataka kuondoka, si aache kwenda mazoezi kama alivyofanya wakati wa preseason.Huyu karuhusiwa kuondoka toka kitambo sana ila hakuna timu iliyotayari kuwekeza kwake. Unaamini kweli sisi tunamzuia?