Maguire hakuna ambacho tutamiss leo kutoka kwake i believe..lakini ningefurahi Bailly na Varane..kitasa..mvunja kuni mkata shombo magwaya hayupo tutatoboa kwel[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Tunatoboa vizuri tuuNimekuja tu kuwaambia HATUTOBOI!!!
Amin amin nawaambiaAmka Mkuu Bado umelala Tu[emoji23]
Yes here we go..... sanchooo japo inaweza kuwa kwa mda 😌Vijana wameanza vizuri, piga Liverfool hao.
Uhai?mnashikwa shikwa unasema kuna uhai?football is blood of hell ndio ipo upande wenuAngalau uhai upo leo...