Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sport politics lazima kuwepo na njia ya kutokea. Kwa vile hakuna mtu anayewaamini waandishi wa habari hata kama waliyoandika ni kweli, mhusika akikana anasikilizwa yeye zaidi ya vyombo vya habari hasa repota wa sports wamekuwa wazushi mno kama wale repota wa siasa
 
Kuna uwezekano Alonso akabaki kwa sababu hizi kuu tatu
  1. Barcelona wamepoa, hawana haraka tena ya kumsajili Alonso kwa sababu ya cashflow yao kuwa mbaya
  2. Emerson anaenda Westham na Cucurella atacheza kwenye CB kuliko kwenye wing-back na pia Chilwell bado form yake iko taabani akipewa muda itakuwa haizidi dk 10 hadi afufue form yake
  3. Atabaki kwa sababu za tahadhari kama mmoja wao atapata injury
Ila akisajiliwa CB basi hatakuwa na umuhimu tena wa kubaki
 
Chelsea waachane na Auba wamsajili Ivan Tonney
Maoni yangu
Auba ni mfungaji mzuri lakini kama Ivan Tonney atakuwepo katikati, basi Tonney atakuwa na vitu vingi vya kuleta darajani zaidi ya Auba
Huyo jamaa anajua Sana , ana link up nzuri, ana press, anajua kwenda hewani,

Bora mumpate Auba ,mkimpata Toney atasumbua ,

Toney anarudi Hadi kwa Viungo kusaidia na kuchukua mipira
 
Chief-Mkwawa

Nilikua nakuambia kuhusu Ngolo kante pale Chelsea
Ukadai kuwa defensive ni Johinho
Unawaona Leeds wanavyopita mido ya Chelsea? Kama hakuna mtu hivi

Kwanza Chelsea wenyewe wanamkataa huyo jogingo

Hivi Ngolo kante angekuwepo mido, just imagine

EPL unahitaji kuwa na kiungo ngumu, tofauti na hapo utalia tu
 
Ni sawa mkuu ila Sio DM, Kante anacheza Vizuri ukimuachia akakabe, ni Kama Man U Fred sio DM japo anakaba sana, wachezaji hawa mkuu wapo wengi sana Gatuso, Marchisio na wengine wengi sababu wanakaba sana mashabiki wanadhani ni DM.

Miaka yote pale Chelsea Kante anacheza vizuri akiwa na DM mfano Matic, Jorginho etc, Chelsea walivyotuuzia Matic wali struggle sana kum Unlock Kante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…