Manchester United (Red Devils) | Special Thread

8/10
 
Wenye team hii nazidi kuwasii mzidi kukaa na bruffen ,panado advance maumivu yatazidi tu .
 
Ngolo kante sio DM, chelsea Dm wao ni Jorginho, kasome vizuri role ya regista utaelewa. Pirlo alikuwa DM miaka yote kuanzia Italy, AC milan hadi Juve si lazima DM awe destroyer kuna mifumo mingi.
 
Ngolo kante sio DM, chelsea Dm wao ni Jorginho, kasome vizuri role ya regista utaelewa. Pirlo alikuwa DM miaka yote kuanzia Italy, AC milan hadi Juve si lazima DM awe destroyer kuna mifumo mingi.
Umeelewesha vzr Sana ,

Hata hapo man u sitashangaa Eriksen akacheza chin na sio casemiro ,

Madrid casemiro hausishwi kwenye bulidup coz sio mzuri kwa pass

Wanaohusishwa Ni Kross na modric ,yeye anakuwa juu yao kwa kaz chafu
 
Wakuu nimeona interview ya Gary Nevile na Ten Hag kwenye kipindi chake cha overlap alimuuliza swali kuna mchezaji anasema baada ya week 2 ataweka kila kitu wazi nini mtazamo wako?

Sasa mimi nataka kumjua huyo mchezaji ni nani? Hii performance ya team yetu sio bure mazee kuna kitu ndani yake.
 
Huyo mchezaji ni Ronaldo, kuna post ya Instagram ali-comment na kusema mambo yote vyombo vya habari wanayoandika kuhusu yeye ni uongo na baada ya wiki kadhaa ataweka ukweli wote hadharani katika interview na anadai ana notebook yake kabisa. Pia alisema kwa mwezi uliopita katika habari 100 walizoandika kuhusu yeye ni habari 5 tu ndiyo zina ukweli.
 
Nashukuru sana mkuu. Kwa mtazamo wako ronaldo anaweza kuwa kirusi kwenye kikosi chetu au ni mtazamo wa mashabiki tu?
 

Una jina zuri kama la timu yako
 
Uvumilivu tu...we will not die
BADO
1: FDJ
2: GAPKO
3: ANTHONY
January ni RB na dirisha kubwa ni CB na CDM nyingne....eee Mungu tusaidie tunaumia
Je, tunauza?

Au unasajili halafu wanakaa benchi?

Hawawezi kuwa contaminated na virus wengine?

Binafsi sina optimism kabisa ya aina ya kikosi tulichonacho.

Kuna wachezaji wangeondoka hili dirisha ningekuwa na amani kabisa. Ila as long as bado wapo, naona ni season ya failure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…