Manchester United (Red Devils) | Special Thread

HUYU MAMA WA RABIOT ANGEWAPIGA PESA NDEFU,

Adrien #Rabiot’s deal

Salary request: 9M/year + add-ons

#ManUnited’s salary offered: 7M/year + bonus

Commissions: 10M (request by mom-agent Veronique)

Transfer: €17,5M (total agreement between #MUFC and #Juventus)
 
Daaah
 
United walikua tayari kumfanya Adrien Rabiot moja ya wachezaji wanaolipwa pesa nyingi kwenye daraja moja la kina Bruno Fernandes na Christian Eriksen lakini mama yake Véronique iinasemekana alihitaji mshahara mkubwa zaidi. [ @David_Ornstein ] #MUFC

Naona hawa wajinga wameona united ni pakupigia pesa kwa kiwango gani kwanza.
 
Hii ndo shida ya kutosajili mapema,tulionya huyu de jong kumng'ang'ania atatucost kwa wachezaji wengine,
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Kwa kikosi cha City sioni wa kuchuana nao msimu huu nyinyi nkomae mcheze UEFA tu msimi ujao
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hio Uefa yenyewe hawanusi msimu ujao.
Kama wewe ni mgeni wa AsaniWali unaweza ukashtuka kwelikweli kwa matokeo ya mechi zao 5 au 6 za mwanzo, ila nakuhakikishia baada ya game hizo wataanza kushikana uchawi wao kwa wao kwenye lile jukwaa lao la matusi.
Arsenal inayoanza ligi kwa mbwembwe za ushindi hua haitoboi kwenye top4.
 
Umenikumbusha mbali Sana. Asernal ilivheza mech 19 ikaja kuitolewa bikira. Na kikombe hawakubeba. Hizi timu zinaishi Kwa majina yao bana
 
Bora hii deal imekuwa off.. bado mchezaji mwenyewe ni wa kusua sua tu, nilisikia wanmdiscuss Caicedo, muda unavokimbia tungekomaa tu na huyu tayari ni proven pia EPL pia
 
Kwa hali mliyokuwa nayo hamna jinsi, kama hamtaki kaeni na timu yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…