Newzealand360
Member
- Aug 10, 2022
- 88
- 122
na kweli ni mashine siunaona inavyokoboa wachezaji tena hadi teammates inapita nao hata haijali.Kumbukizi kidogoView attachment 2324529
Iyo hela kawape yatima uthesabiwa na MunguMpira haupo hivo, sitashangaa man u akishinda hiyo game
Tena nitambetia kabisa , najua atakuwa na odd mlima
Ata angeanza kipindi na marehemu sio la maana sanaKipya kipya ? Tatizo mmeanza kuangalia mpira baada ya kikwete kuingia madarakan
Mm hiyo mech nabet Leo mapema kabisa Nampa man u
Man u hii mbovu, muulize Chelsea amemfunga lini mara ya mwisho, man u ya ole ,Pep kachezea vipigo kilaini kabisa
Kipi kipya sasa
itakuwa biashara nzuri sana kumuuza james garner kwa paundi millioni 15 kwenda juu.Fab anasema tumeamua kumuuza James Garner π Mctominay yupo sana, huyu ETH anaaibisha wenye vipara kwakweli
Mkuu ile timuuu leo hata yanga anaichapaaa vizurii tu hamna timu hapaaaKwaio mmeliwa kimasihara au planned?
Mkuu umewahi angalia akicheza huyu bwana mdogo hata match 1 tu dk zote 90? Hiyo hela amini inatoka kwa vile dogo ana potential kubwa sana mbeleni.. kingine nikuulize ni overrated au sisi ndo tume fail ku unlock hizi potential za hawa vijana rejea kina Januzaj n.k?itakuwa biashara nzuri sana kumuuza james garner kwa paundi millioni 15 kwenda juu.
james ni overrated