Kama huyo Laird sijui anakosaje namba aisee. Baily mtu wa kazi hakuna ubishoo.
Hicho kikosi ni sub 3 tu ila hizo beki dk 90 zinatoboa. Kikosi tunacho basi tu makocha wanakariri sijui wanapangiwa kikosi.
Yani ni kitu basic tu kocha kutambua hawezi kufika mahali na wakina Maguire, Shaw, Dalot, Fred, McTominay, Rashford, De Gea wanapoanza kikosi cha kwanza.