Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Niliogopa tangu mwanzo kwa kauli zake na kingine kujiamini kuanza msimu bila dm
 
Inabidi tuchapike haswa, Mambo ya kutiana moyo mwanzon mwa ligi halafu katikati tunaanza kulia kilio haifai...Yani tuchapike vizuri tena vipigo vitakatifu vya kikatili ili dunia nzima Hadi wafu wafahamu kuwa timu ni mbovu, ili basi hadi sisimizi wafahamu kuwa man utd ndiyo inaanza kutambaa dede!
 
Unatusumbua sana jukwaa la chelsea....


Afadhali vipigo kama hivi vitakuweka mbali na sisi.
 
Unatusumbua sana jukwaa la chelsea....


Afadhali vipigo kama hivi vitakuweka mbali na sisi.
Tunawashukuru mashabiki wote wa brentford popote pale mlipo kwa kuonyesha ushirikiano wenu siku ya leo.
Kikubwa kenge ataendelea kua kenge na nyumbu ni nyumbu tu.
Nawakumbusha mashabiki wenzangu kwa hali hii mechi inayofata na Liverpool kila mmoja atembee na kikopo chake cha mafuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…