Mkuu naona umefurahia sana Maguire kukandwa.
Ten Hag amekuja kuendeleza clean sheet alizoachiwa na Ralf Ragnic.
Man united haina tofauti na mtumbwi wa vibwengo.
Ila hawa wahuni wa Brentford sio binaadamu hawana utu hata kidogo.
Safi kabisa, nililiona hili, hivi ni timu gani pale EPL haina CDM na kocha akafurahia kabisa kuanza ligi?
Pep alikuwa na Fernandinho lakini alinunua Rodrì ili fernandinho anavyoisha Rodri awe amezoa,mnaona moto wa Rodri.
Huwezi kuwa na timu haielewi hata mchezàji gani anaichezesha ukategemea kitu toka kwenye hiyo timu zaidi ya hiki tunachoona kwa United.
Nilimshangaa sana EtH kwa kukubali mpaka anaenda Preseason na hana CDM.