Asubuhi ya leo nilikatiza kwenye viunga vya Mloganzila, kila ninaepishana nae anacheka, hata wale wangonjwa waliobebwa kwenye machela na wenyewe wanatabasamu ikabidi nimuulize daktari leo vipi mbona hii hali siielewi?
Dokta akanijibu kua kwa pale hospitali ni kawaida siku Manchester United itapokua inacheza watu wote hua na furaha, hata dawa za kupunguza maumivu siku hio hua hazitumiki sana.
Hapo ndio nikakumbuka ile kauli ya
allypipi ya kwamba :-
"Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha
"