Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yaani wee kama gk utasubutu kumwamzishia mpora magwaya😲😲😲
Yule ata bibi yangu akiwa na mpira anasema kabisa huo mpira unapotea🤣🤣🤣🤣🤣
 
Tulivyocheza na Brighton tukicheza hivyo against big teams aibu kubwa sana itatupata.

Sijajua ni kitu gani kimewapata wachezaji wetu wengi mbona msimu wa kwanza wa na wa pili kwa Ole walikuwa wanacheza vizuri tu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…