Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mpaka sasa hata hatujui mipango ya Kocha, Garner hajauzwa wala kutolewa mkopo hatujui kocha ana plan gani nae, hayupo fit kuanza maybe ndio maana Mc Tominay ameanza, Tumpe muda Kocha tutajua baadae mbivu na mbichi.
jana alionza kuonesha nani anamuamini na hata ile sub angeanza kutoka Mctominay sio fred
 
sasa wasajili sehemu muhimu kama kiungo wana beki watatu wa kushoto na ameongezwa mwengine kati pia kuna kama watano wameongeza mwengine ila dm hamna na hawajaongeza mtu rebuilding gani inakuwa hivyo
 
jana alionza kuonesha nani anamuamini na hata ile sub angeanza kutoka Mctominay sio fred
Kila mtu na role yake uwanjani, ETH anacheza na Deep lying playmaker ambaye anakaa deep na kudistribute mipira, baina ya Fred na Mctominay jana Fred alicheza hio role, wakati huo Eriksen alikuwa kama false 9.

Katoka Fred kaingia Ronaldo, hivyo Eriksen karudi nyuma nafasi ya Fred na Ronaldo akawa ndio namba 9.

Mctominay alikuwa kama Box to box ndio maana muda mwingi alikuwa mbele zaidi.

Tusubiri tuone kocha ana plan gani na hii timu, mechi moja ni ndogo sana ku judge mifumo yake.
 
sawa umemleta malacia akae nje na kuna sehemu ni dhaifu sana kama kiungo hata wachezaji wawili wangetosha halafu huko mbele waongezwa wengine muhimu ilikuwa kiungo
Kama unafuatilia mkuu Telles yupo Sevila, Malacia ni Backup ya Shaw.

Na sio kwamba Kiungo hatuhusishwi na yoyote, ina maana ETH pia anatafuta kiungo, ni kwamba tu target yake haijapatikana.

Na ili tusirudie makosa kuna Right profile zinahitajika, si kila mid tunaweza kumsajili.
 
Weakness ya beki ya jana wote Maguire na Martinez hawana speed na Epl speed muhimu sana.

Maguire mkuu ni ball playing defender, anapiga pasi za maana na ndefu ngumu kukuta anapiga vibaya. Mpira wa kisasa unahitaji hadi kipa ajue kupiga pasi. Ndio maana huoni akikaa bench.

Bailly anafit mifumo ya Kina Ole, Mou na makocha wengine wanaocheza low Block. Nafkiri Mou atamchukua Roma.
 
Muhimu sana siku hizi Kwa midfield kuwa na uwezo wa kuchenga press za wapinzani, upo sahihi mkuu analysis yako,
 

Mkuu,
Weakness ya Martinez siyo speed ni physique(esp. Height yake)
Unawezaje kucheza high line ikiwa beki wako hana pace?
Kwenye huu mfumo, Which factor can be compromised, pace au ball playing ability ya defender? Pengine mm ndo sielewi au
Who is more suited kwenye huu mfumo wa high line? Maguire au Bailly?

Wote tunafahamu Maguire hana pace, tukicheza high line anakuwa exposed. Msimu wa 19/20 kuna kipindi tulicheza mechi kadhaa bila ku concede, tulikuwa tunacheza low block na Maguire alishine sana.
Sasa unaposema Bailly anafit kwenye low block pekee nashangaa
 
Point
 
Point
 
By any means inabid mpate DEFENSIVE MIDFIELDER

Mtafuteni mtu mfanano na partey au fenandinho

Hayo menginge yatakaa sawa.

Nilishawai kusema na nasema tena
Hapa dunia hakuna beki akipelekewa moto mara nne mfululizo asipoteane

Tutamlaumu magwaya bure tu

Huyu Martinez soon mtaona kama mmepigwa
 
Mimi sio mchambuzi mzuri wa mpira ila pia niliona kwann nafas ya maguire asicheze baily naona yuko vizur kuliko huyu capt uchwara 🙂
 
Sababu Baily ni reckless, ana adventure nyingi, zikikubali adventure zake kinatokea kitu kizuri zikikataa tunakuwa exposed.

Martinez pia hana speed, mara kibao jana ameachwa na Welbeck anakuja kushtuka its too late,

Na ideal ndio inabidi mtu kama Varane ama Baily acheze Alongside Maguire/Martinez ku cover ila Kocha mwenyewe anajua anafanya nini.
 
target ni rabiot ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…