FK21 JF-Expert Member Joined May 27, 2019 Posts 8,924 Reaction score 11,305 Aug 7, 2022 #172,481 Hii sio preseason
Camilo_Cienfuegos JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 11,378 Reaction score 15,384 Aug 7, 2022 #172,482 Kama mlivyovamia uzi wetu on friday, tumeweka kambi kwenye msiba
Camilo_Cienfuegos JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 11,378 Reaction score 15,384 Aug 7, 2022 #172,483 Wapi Kitoabu?
mkorea JF-Expert Member Joined Aug 16, 2016 Posts 8,582 Reaction score 19,225 Aug 7, 2022 #172,484 mkorea said: Brighton hii lakini mtakalishwa vizuri tu Kibaya zaidi weakness zenu zipo waziwazi Click to expand... Nilipata kusema
mkorea said: Brighton hii lakini mtakalishwa vizuri tu Kibaya zaidi weakness zenu zipo waziwazi Click to expand... Nilipata kusema
Aaron Arsenal JF-Expert Member Joined Jul 24, 2014 Posts 24,498 Reaction score 28,720 Aug 7, 2022 #172,485 Cash Money Forever said: BREAKING Klabu ya Manchester United imejiondoa kwenye michuano ya ligi kuu ya England (EPL). Click to expand... 😄😄😄😄😄
Cash Money Forever said: BREAKING Klabu ya Manchester United imejiondoa kwenye michuano ya ligi kuu ya England (EPL). Click to expand... 😄😄😄😄😄
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 16,748 Reaction score 28,140 Aug 7, 2022 #172,486 Ila manjesta bwana imejas malofa sana. Tayari huko viwili 😂
mkorea JF-Expert Member Joined Aug 16, 2016 Posts 8,582 Reaction score 19,225 Aug 7, 2022 #172,487 Volatility said: I do not compare people. I have a well established brain capability to evaluate anything and anyone based on merit. Click to expand... Man 0 Brighton 2
Volatility said: I do not compare people. I have a well established brain capability to evaluate anything and anyone based on merit. Click to expand... Man 0 Brighton 2
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,527 Reaction score 81,250 Aug 7, 2022 #172,488 The theatre of dreams has turned into the theatre of grim.
muhweza JF-Expert Member Joined Feb 22, 2022 Posts 996 Reaction score 1,411 Aug 7, 2022 #172,489 Wenzetu wanasajiri sisi tunakaria upumbavu
Guacamole JF-Expert Member Joined Mar 19, 2019 Posts 6,079 Reaction score 16,035 Aug 7, 2022 #172,490 allypipi said: Muda wa kupata furaha yani nasikia tu kelele tu hapa mafans wanamzuka kwerikweri wa mechiView attachment 2317104 Click to expand... Vipi mzuka bado upo?
allypipi said: Muda wa kupata furaha yani nasikia tu kelele tu hapa mafans wanamzuka kwerikweri wa mechiView attachment 2317104 Click to expand... Vipi mzuka bado upo?
Watery JF-Expert Member Joined Jul 24, 2018 Posts 2,729 Reaction score 3,498 Aug 7, 2022 #172,491 ozark said: Tutawashangazaaaaa,hata na hiki hiki kikosiiii Click to expand... Ok
B bilu97 JF-Expert Member Joined Mar 14, 2013 Posts 1,426 Reaction score 1,589 Aug 7, 2022 #172,492 mko wapi mlosema uasajili unatosha mna kikosi kizuri nliwaambie tukutane ikiisha game ya brighton nawangoja
mko wapi mlosema uasajili unatosha mna kikosi kizuri nliwaambie tukutane ikiisha game ya brighton nawangoja
B bilu97 JF-Expert Member Joined Mar 14, 2013 Posts 1,426 Reaction score 1,589 Aug 7, 2022 #172,493 hamumtaki ronaldo eti mumtegemee rahsford dah
Darmian JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 17,300 Reaction score 46,749 Aug 7, 2022 #172,494 EtH tunavyosema ilibidi tuwekeze massively kwenye RB,DM na No 9 ilibidi atuelewe.
Guacamole JF-Expert Member Joined Mar 19, 2019 Posts 6,079 Reaction score 16,035 Aug 7, 2022 #172,495 Zamiono said: Tim la dunia linacheza. Brighton wamepanda mtumbwi wa vibwengo, watajuta. Click to expand... Mpaka sasa anajuta nani?
Zamiono said: Tim la dunia linacheza. Brighton wamepanda mtumbwi wa vibwengo, watajuta. Click to expand... Mpaka sasa anajuta nani?
rikiboy JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 22,165 Reaction score 43,854 Aug 7, 2022 #172,496 Kamaa hii ni timu ya mpira bhasi Huu mchezo ufutwe dunianii.. mamaaeee hamna timu hapaaaaa
B bilu97 JF-Expert Member Joined Mar 14, 2013 Posts 1,426 Reaction score 1,589 Aug 7, 2022 #172,497 Volatility said: He has been put where he belong. Click to expand... Rashford katupia ngap
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,468 Aug 7, 2022 #172,498 Montserrat said: Kama mlivyovamia uzi wetu on friday, tumeweka kambi kwenye msiba Click to expand... Tusameheni
Montserrat said: Kama mlivyovamia uzi wetu on friday, tumeweka kambi kwenye msiba Click to expand... Tusameheni
rikiboy JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 22,165 Reaction score 43,854 Aug 7, 2022 #172,499 Hivi hizi bekii huwa zinafanya hata mazoezi kweli???? Sasa si bora ronaldo hakucheza hiyo preseason mamaee... maguiree sijui kalogaaa huyu mbwaaaa
Hivi hizi bekii huwa zinafanya hata mazoezi kweli???? Sasa si bora ronaldo hakucheza hiyo preseason mamaee... maguiree sijui kalogaaa huyu mbwaaaa
mkorea JF-Expert Member Joined Aug 16, 2016 Posts 8,582 Reaction score 19,225 Aug 7, 2022 #172,500 Kitoabu Ushauri wangu ni ule ule, jikite kwenye kuchimba madini Achana na huu upuuzi upuuzi