Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu Hakuna usajili wa kindezi nakumbuka kama ule wa Alex suchez.

Mshahara wa 500,000 maanina kabisa.

Kwa Hali hii iliyojitokeza, hata huyo de jong naaende tu
Kwa ule mshahara wa Sanchez, huwa simlaumu kabisa kufail.. kati ya upuuzi kuwahi kufanywa na Woodward hii ilikuwa balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…