Mshike mshike ndege tunduni 😊😊😊 aende hata Porto tuuRonaldo lazima kichwa kiume mwenzake yupo timu ambayo ina uhakika wa kombe kila msimu na ina kikosi ambacho kina nafasi kubwa kubeba UCL.
Messi akitulia kule Ligue 1 ataweka rekodi nyingi sana. Ronaldo anajua mpaka sasa kaingia cha kike kurudi Old Trafford.
New challenge imekuwa challenge kweli halafu anataka kukimbia. [emoji23]
Msimu wa kwanza AWB alikuwa vizuri, labda atarudi kwa vile kocha mpya ngoja tumpe muda ila ule upande bado hatuna mtu wa maana paleDalot na AWB hamna mwenye nafuu..
Ila yule AWB wa msimu wa kwanza atleast alikuwa kisiki..one two hizi alikuwa haachwi kibwege na blocks alikuwa anazifanya sana.. sijui amepatwa na nini.
Tunahitaji some improvements on RB..
Acha ujinga wewe mbwiga..Acha matusi ya kisenge kaka....kama humpendi ni ww na hauna fact yyte....unajikuta kocha wakati mlala njaa tu
Huyu cocha hataki long passes.United wamekua na matamanio ya muda mrefu kwa Rúben Neves kwasababu ya mtindo wake wa kupiga pasi ndefu, jinsi anavyoumiliki mchezo na hatari yake kwenye kufunga magoli. #MUFC [@MelissaReddy_]
Mctominay na fletcher wote sababu ya ferguson bora ronaldo ana msaadaFerguson alifuata nini Carrington siku ile?
Sahivi namchukia Ronaldo kuliko mchezaji yeyote ulimwenguni.
Ten Hag asiposimama kidete msimu huu atafeli kwasababu ya ronaldo.
My fellow United fans, where are these days!!Ugomvi wenyewe ulianzia kwenye hii ndoo hapa! Kila m1 anasema yake..(labda mwakani kila timu ipewe ndoo yake ili waache ugomvi - hata ganaz wapewe. Tena wapewe kubwa zile za Amboni plastics)
Wakakwea pipa hadi Moscow!
Jeraha la kwanza!
Halikutosha wakazinduka! Kibahatibahati tu!
Huyu naye kaanza kuwatandika wenzie makofi..kaambiwa makofi NO!
Ikafika kuchapana konde moja moja usoni (penati).. Shujaa wetu kawaonea huruma...hakuwatandika ngumi ya uso sawasawa
Kiongozi JT kakosa hapa sijui anazuga au ...
Huu mkwala ukamfanya Mkongwe Anelka (siku hizi anaitwa nani vile) aseme yeye sio karateka. Yeye kazoea ngumi za kawaida tu!
Kila sababu ya kusherekea ilikuwepo!
TUJUMUIKE NAO... MASHUJAA WETU!
The days will come back, might take some few years, but they come back.My fellow United fans, where are these days!!
Uyu si kibabuHere We Go..! [emoji4]View attachment 2280793
Akileta niite mbwaEriksen ataleta utofauti kwenye timu yetu?
Tukana na weweAcha ujinga wewe mbwiga..
Natoa maoni yangu unaniita mlala njaa..kwani nikiwa mlala njaa ndo nisitoe mawazo yangu?..hovyo kabisa.
Huyo anapatikana Tena free deliverRonaldo vipi, bado mnamtaka? Sisi Chelsea tunamtaka tupeni basi bure? futeni mkataba wake ili awe huru kama Barca walivyomfanyia Depay
Barca Wana roho mbaya sanaRonaldo vipi, bado mnamtaka? Sisi Chelsea tunamtaka tupeni basi bure? futeni mkataba wake ili awe huru kama Barca walivyomfanyia Depay