Na timu haijawahi kuwekeza pesa kutafuta mtu kwenye eneo hilo zaidi ya Lukaku.Tangu aondoke Van Persie pale OT hatujawahi kupata 9 ya kueleweka.
Ronaldo akiondoka wachezaji wengi sana wataimprove kikosi chetu ni kama wachezaji wengi wanasumbuliwa na ugonjwa ambao uliwatesa Argentina wakati Messi akiwa kwenye ubora wake.Hahaha no way, ni kuwa Bruno toka Ronaldo aje hajatulia yupo kutafuta influence aliyoipoteza ndio maana anaharibu haribu.
Tukutane Oslo saa saba mchana.. simeoni leo hata akipaki treni atakula za kutosha
Utabiri... man 4 atletico 1.
Gundu lilianzia hapa hii team lenu limelaaniwaKhaa! Kweli uchawi upo hadi ulaya.tumepiga kofuli asiondokeView attachment 2309034
Lakini wapumbavu wachache wakajaribu kutupa mzigo wa team mbovu kwa mtu mmoja (ronaldo), wakati haiihitaji akili nyingi kujua kuwa tuna magarasa yamejaa hapo, tena ambayo hatuwezi kuyauza popote.mkitaka kuamini tuna wachezaji wa hovyo angalia perfomance ya wachezaji wapya eriksen na malacia kisha waliobaki ukitoa fred ndo mana wengine tunasema bado usajili haujatosha yale matakataka ndo mana Ralf alisema waje 10 wapya
Upo sahihi kabisa ,Mpira wa Leo wa city na Liver ni too normal AK basic. Natumaini ligi ikianza hawatacheza vile. Kulikuwa na kupwaya sana kwenye difense. Hasa city
Mbona hao nao tunawaongelea, tushasema mara nyingi ili man u urudi tunahitaji kuondoa ufaza na ubishoo, Ronaldo kubwa la mafaza hasara tupu.Lakini wapumbavu wachache wakajaribu kutupa mzigo wa team mbovu kwa mtu mmoja (ronaldo), wakati haiihitaji akili nyingi kujua kuwa tuna magarasa yamejaa hapo, tena ambayo hatuwezi kuyauza popote.
Ukiwatoa De gea, Malacia, Ronaldo, Eriksen, Martinez hapo Man U tuna wachezaji gani wa maana?? (Fred ni mzuri ila hana consistency).