Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wamekatwa mishahara kwasababu hatujafuzu UCL. Hiyo ipo kwenye mkataba na inajulikana, labda wewe hufahamu.

Kununua wachezaji 7 haipo realistic kama tunavyotaka.

Ten hag ameshasisitiza, tutasajili ila wachezaji sahihi (anaewataka yeye).

Mpaka sasa nafasi ambazo ni critical ni midfield na defence, na inafanyiwa kazi. Hizo nafasi nyingine wachezaji wanafundishika.

Man Utd haijawahi kuwa na shida kifedha, ni cash cow wa familia ya glazers.

Wakati wa Ed tulikuwa tunafanya kufuru sokoni, ila sio wachezaji sahihi uwanjani zaidi ya kibiashara. Sahivi tunachukua wachezaji sahihi uwanjani.

Misimu mitatu ijayo tumpime Ten hag na timu atakayokuwa anaitengeneza.
 
Mbona ishu ni simple tu jamani mbona tunagandana na huyu mtu mbinafsi?..ni kutemana nae fasta tu..

EtH akimweka kwenye mipango yake nitamdharau sana

Hakuna fahari yoyote kuangalia mechi na Ronaldo akiwemo kikosini.View attachment 2306911
Man Utd wangemwambia anunue mkataba wake waachane nae kwa amani.

Haya mengine ni kujishushia heshima kama club.
 
CR7 kamuumbua mwanahabari mmoja Habari anazoziona mpaka mwenyewe anashangaa zinatokea wapi!!?
 
Man Utd wangemwambia anunue mkataba wake waachane nae kwa amani.

Haya mengine ni kujishushia heshima kama club.
Ni mkubwa kuliko timu yenu, hamna uwezo wa kumfanya chochote hajaja kwenye tour yenu na haendi huko oslo! Kizazi jeuri cr7[emoji23]
 
Maana yake ni mkubwa kuliko timu yenu, hamuwezi afford kumpoteza, ndio maana mmechutama na kupiga magoti hamtaki aondoke

Timu ipo inamtaka? Unafikir wao wajinga waseme hawamtak halafu wapate hasara? Kila mchezaj huwa hauzwi au kumtakiwa kwamba hatakiwi ukifanya hivyo unaharibu biashara unafikir ingeenda ofa wangemzuia?
 
Bado wiki moja ligi ianze
Wan bisaka, shaw, rashford, martial, Fred, mactominay, cr7

Bado wanatambulika kama wachezaji wenu. HAMPO SERIOU
Wapo chini ya 10Hg sasa hivyo acha kukalili ukadhani ni zama za mbwatukaji Ralf rangnick... wapo kwenye mikono salama now watakushangaza sana...
 
Karibu sana mwamba Benjamin Sesko... ujio wako lazima vibeki uchwara vipate mhaho...
 
Cr7 anadhani ataendelea kucheza ucl mpka lin
Huyu anazeeka vibaya hataki kukubaliana na muda
 
Timu ipo inamtaka? Unafikir wao wajinga waseme hawamtak halafu wapate hasara? Kila mchezaj huwa hauzwi au kumtakiwa kwamba hatakiwi ukifanya hivyo unaharibu biashara unafikir ingeenda ofa wangemzuia?
Hehehe unajidanganya wewe, kubalini ombi lake la kuvunja mkataba by mutual consent uone kama sekunde 2 mbele hajatangazwa na bayern au chelsea! U buying into these rubbish the media post, who doesnt want a goal machine into their team!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…