Manchester United (Red Devils) | Special Thread

huyu mjinga sitaki hata kumsikia, aliharibu bilihani la 21/22 vibaya sana kwasababu ya maamuzi mabovu ya shortsighted fans and management.
 
Kwa hiyo mko na uhakika kabisa kuwa magwaya anauweoz wa kumzuia Alvarez na halaand wasifunge goli hapo OT?[emoji23]
 
Malacia, Lisandro na Eriksen kwangu mimi wanatosha. As always kale kajamaa kule tuwaachie mzigo wao Barcelona wamalizane nao.

Kama katamaliza mkataba wake na Barcelona katalamba zaidi euro 88M plus bonus. Hata mimi ningesema siondoki hata walete forklift.

Barcelona wanataka kutumia mgongo wetu kukwepa huu msumari wa makosa yao waliyofanya mwaka 2019. (they are 1.3 billion euros in debt - He's going to bleed them nails to toes)
 
Chelsea hawamtaki Ronaldo ..

Psg hawamtaki Ronaldo ...

Ronaldo haitaki man UTD [emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa Ronaldo inabidi aache Mambo ya mpira ,nyakati zake zinaenda kuisha ...

Hivi kweli TT ni WA kumkataa Ronaldo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sidhani kama ataenda kama ilivyo kwa Lisandro. Kule ni mbali sana inachukua masaa 20+ kufika ukitokea Uingereza au Denmark.

Muda huu wenzao wakiwa kule wao wajikite kuhamia ktk nyumba zao na kutetembea mazingira ya Carrington.
FDJ shida ni nini... simuelewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…