Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Eric Baily ameanza vizuri pre-season. Back yetu ya kushoto haifanyi marking vizuri. Elanga anahitaji kutulia mbio tu halitosis. ETH yupo vizuri, ule utoto utoto utaisha maana sura yake tu isiyo na mzaha inapeleka message ya kutosha kwa wachezaji.
 
Eric Baily ameanza vizuri pre-season. Back yetu ya kushoto haifanyi marking vizuri. Elanga anahitaji kutulia mbio tu halitosis. ETH yupo vizuri, ule utoto utoto utaisha maana sura yake tu isiyo na mzaha inapeleka message ya kutosha kwa wachezaji.
Dah Bailly namkubali, michomo yote aliyochomoa angekua Maguire zishakamilika.

Naona now Timu inajipanga.

Mwanzo mzuri kwa ETH.
 
Bailly kacheza vizuri sana..

Dogo iqbal nimemkubali..dogo ana composure nzuri.

It's always feels good kuwafunga hawa scoosers.
Yaah! Wakitumiwa vizuri De Jong wa nini? Na huyo Pellistri why walimtoa mkopo wakati utumbo mwingi msimu uliopita.

Kingine Rashford bado sana, nachotaka ni kuona ETH akideal na fala mmoja ili wengine wajifunze
 
Kocha anatafuta profile maalum, Sms, nevez wote hawana Quality ya Fdj, kwa source ambazo haziaminiki sana ni Peredes wa Psg ndio alternative ya UTD.
 
Yote kwa yote!! Pre-Season kwa Manchester United hainaga maana yoyotee!! Tokea SAF ang’atuke.
Rejea; LVG
Ila lvg hakufunga Pre season tu, hata ligi hakuwa na Mchezo vs top team, kwenye ligi misimu mwili kacheza mechi na liver kawapiga zote hata draw hawakupata, Arsenal aliwafunga na Rashford striker ana miaka 18, Man city tulipiga sana, Spurs ndo usiseme.
 
Hivi hawa Liverpool walitufungaje goli 5 bila msimu ulioisha?
Natamani ligi ianze mapema,tushampata nahodha wa jahazi letu,EtH.

Kuna watu hapa watasema ni maandalizi tu,shauri yao bana,sisi tunahesabu kikombe cha kwanza hicho kwa msimu huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…