Wachezaji wa cku hz hawana mapenzi na timu wanataka pesa. Hakuna mchezaji wa kizazi atakataa kuchezea utd sema wameweka tamaa ya pesa mbele wakichagizwa na mawakala wao.Sasa Huyo De Jong Hana Mapenzi Na United.
Michezaji ya hovyo bado ipo mingi sn utd, na tunayo mpk itazeeka hapo cz hayauziki.Hichi ndo kikosi kilicho safiri leo kwenda Bangkok ndugu yenu mnae mkomalia naona hayupo.
Kuhusu jones kutokuwepo nadhani mnaelewa ile ni deep state ya Manchester united.View attachment 2284662
Hivi unamuonaga huyu Eth ana Bichwa kama Baba ubaya?Unyama unyama.View attachment 2285224
Yupo serious sana huyu jamaa.Hivi unamuonaga huyu Eth ana Bichwa kama Baba ubaya?
Kila mtu anafata chake, hela muhimu ila kuna Factor nyingine pia. Sisi tunalipa mishahara kibao ila wachezaji wengi wa South America hawataki UTD sababu ya hali ya hewa, wanakimbilia Spain huko. Wengine wanafuata style fulani ya uchezaji, wengine wanasikiliza mademu zao etc.Wachezaji wa cku hz hawana mapenzi na timu wanataka pesa. Hakuna mchezaji wa kizazi atakataa kuchezea utd sema wameweka tamaa ya pesa mbele wakichagizwa na mawakala wao.
Hii ilikuwa zamani mkuu sio sasa.Kila mtu anafata chake, hela muhimu ila kuna Factor nyingine pia. Sisi tunalipa mishahara kibao ila wachezaji wengi wa South America hawataki UTD sababu ya hali ya hewa, wanakimbilia Spain huko. Wengine wanafuata style fulani ya uchezaji, wengine wanasikiliza mademu zao etc.
Mfano De gea anaipenda sana UTD ila sababu kubwa ya Kutaka kurudi spain ni Demu wake, di maria haipendi Manchester pamoja na Familia yake, Lukaku Huyo kaacha mahela kibao Uingereza karudi Italy sababu mfumo haumfai, Lingard timu kibao zinamtaka ikiwemo westham wanataka kumpa hela Ndefu kuliko anayoipata UTD, ila anaenda MLS sababu anaona lifestyle ile inamfaa akakuze Jlingz brand etc.Hii ilikuwa zamani mkuu sio sasa.
Hichi ndo kikosi kilicho safiri leo kwenda Bangkok ndugu yenu mnae mkomalia naona hayupo.
Kuhusu jones kutokuwepo nadhani mnaelewa ile ni deep state ya Manchester united.View attachment 2284662
Sikazi fuvu ila ukweli ndo huo mkuu, hakuna msimu hata mmoja ambayo mliwahi kukaa na kuevaluate mapungufu ya team kwa ujumla, badala yake ni mabingwa kupoint mchezaji mmoja mmoja na kumuona kama aliyefelisha team nzima.Mkuu acha kukaza fuvu toka 2013 kuna msimu tumekuwa wabovu kama huu??
Na hapo ndipo failure ya Man Utd inapoanzia, katika team kubwa zote ulaya Utd ndio team pekee ambayo ina wachezaji wengi wa hovyo wasiouzika. Fikiria kwenye first eleven yetu hakuna mchezaji yeyote aliyewahi kuonyesha outstanding perfomance angalau kwa nusu msimu tu (achilia mbali msimu mzima). Hapa niataja wote na wale ambao waliondoka:-Michezaji ya hovyo bado ipo mingi sn utd, na tunayo mpk itazeeka hapo cz hayauziki.
Hata ingekuwa mimi nisingependa kukaa wala kufanya kazi Manchester.Kila mtu anafata chake, hela muhimu ila kuna Factor nyingine pia. Sisi tunalipa mishahara kibao ila wachezaji wengi wa South America hawataki UTD sababu ya hali ya hewa, wanakimbilia Spain huko. Wengine wanafuata style fulani ya uchezaji, wengine wanasikiliza mademu zao etc.
Kweli kabisa.Sikazi fuvu ila ukweli ndo huo mkuu, hakuna msimu hata mmoja ambayo mliwahi kukaa na kuevaluate mapungufu ya team kwa ujumla, badala yake ni mabingwa kupoint mchezaji mmoja mmoja na kumuona kama aliyefelisha team nzima.
Huko nyuma mmewahi kuwalaumu akina de gea, Lukaku, Pogba, Bissaka, Tominay, Maguire,Fred, OLE baada ya hapo mkahamia kwa waingereze na sasa ni Ronaldo.
Sasa kama kikosi chote mmewahi kukilalamikia kwanini usikubali kuwa tuna wachezaji avarage, na kwamba hiyo ndio sababu ya kufeli kwetu sikuzote?
Mpaka sasa hata tukimtoa Ronaldo, bado hakuna uhakika wa kutoboa top four wala kuchukua kombe lolote.
TUKUBALI TU KUWA TUNA TEAM AVARAGE NA TUANZE KUJIJENGA UPYA.
Sio kweli bhn, mbn wachezaji walikuwa wanakaa miaka mingi tu enzi zile? Tatizo ni timu iko hovyo kwa ss.Hata ingekuwa mimi nisingependa kukaa wala kufanya kazi Manchester.
Hali ya hewa ya pale ni mbaya mno kwa waliozoea kukaa maeneo ya joto.
Tuna wachezaji ambao hawauziki alafu tunalaumu watu, timu inalipa lipa hovyo mapesa kibao wachezaji average unategemea nini.Sikazi fuvu ila ukweli ndo huo mkuu, hakuna msimu hata mmoja ambayo mliwahi kukaa na kuevaluate mapungufu ya team kwa ujumla, badala yake ni mabingwa kupoint mchezaji mmoja mmoja na kumuona kama aliyefelisha team nzima.
Huko nyuma mmewahi kuwalaumu akina de gea, Lukaku, Pogba, Bissaka, Tominay, Maguire,Fred, OLE baada ya hapo mkahamia kwa waingereze na sasa ni Ronaldo.
Sasa kama kikosi chote mmewahi kukilalamikia kwanini usikubali kuwa tuna wachezaji avarage, na kwamba hiyo ndio sababu ya kufeli kwetu sikuzote?
Mpaka sasa hata tukimtoa Ronaldo, bado hakuna uhakika wa kutoboa top four wala kuchukua kombe lolote.
TUKUBALI TU KUWA TUNA TEAM AVARAGE NA TUANZE KUJIJENGA UPYA.
Hao waliokaa ni kina nani? Core ya Timu yetu ilikuwa na watu wa ulaya wengi, Tevez alikimbia, Heinze ndio original Snake hata kabla ya Di maria, kleberson kazingua, Veron kazingua, Forlan kazingua etc.Sio kweli bhn, mbn wachezaji walikuwa wanakaa miaka mingi tu enzi zile? Tatizo ni timu iko hovyo kwa ss.
Rafael na fabio walikuwa academy ya mufc ? walisainiwa 2008Hao waliokaa ni kina nani? Core ya Timu yetu ilikuwa na watu wa ulaya wengi, Tevez alikimbia, Heinze ndio original Snake hata kabla ya Di maria, kleberson kazingua, Veron kazingua, Forlan kazingua etc.
Wachezaji ambao tulikaa nao kidogo ni Rafael, Fabio, Valencia na Anderson, na hawa wawili Rafael na Fabio wametoka academy hivyo walikulia pale Valencia Tayari alikua na Uzoefu pia tulimtoa wigan, Anderson pekee ndio ali adapt.
Wachezaji wa Ulaya wengi wanafit Man U mfano kutoka Uholanzi tuna malegend wengi, Ufaransa, Ureno etc
Kuanzia 2005 ndio kwa permission ya Fluminese wenyewe walikuwa na Academy yetu bila kusajiliwa, wakafanyiwa trial, Then wakarudi brazil, 2007 wakasajiliwa na mwaka 2008 ndio wakaanza kucheza kikosi cha kwanza. So hawakuwa wageni wa Manchester.Rafael na fabio walikuwa academy ya mufc ? walisainiwa 2008