Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,359
- 5,151
Man Utd 2012 Tour yao ilikuwa ni South Africa. Wanakuja ila si sana Compare na Asia.Kwanini timu za ulaya haziji Africa kufanya pre season.
Nini tatizo Ukata, au miundombinu mbona South Africa, Algeria, Egypt zipo vizuri, hakuna cha ukata timu zikija zinajaza kweli na mzuka juu tena kuliko huko Asia.
MmhKila Siku De Jong De Jong Mchezaji Mwenyewe Mbovu Tu, Fred Yule Akitulia Akiacha Mapepe Huyo De Jong Taka Taka Tu.
Haipingwi [emoji91][emoji91][emoji91]Uzi mmeuona lakini?
Mi nimeuelewa to be honest..
Aiseee! Kuna sababu kwanini City na Liverpool wametuacha mbali sana.Kila Siku De Jong De Jong Mchezaji Mwenyewe Mbovu Tu, Fred Yule Akitulia Akiacha Mapepe Huyo De Jong Taka Taka Tu.
Jersey zinakola utafikili mashati ya wanakwaya wasabatoHaipingwi [emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2284273
I'm not sure if he will be wearing that shirt in the coming season..Haipingwi [emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2284273
Ni kali kushinda yale majezi yenu kama maneti ya malaria ya msaada.Jersey zinakola utafikili mashati ya wanakwaya wasabato
Umemkaa vizuri sana mwanetu yaani ile shkopa.La captain ndani ya uzi mpya.[emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2284311
Jersey zinakola utafikili mashati ya wanakwaya wasabato
Kuwa kwenye utambulisho wa jezi haihusiani na kuondoka, bado ana mkataba na United wana haki zote juu yake.Ronaldo kuwa kwenye utambulisho wa jersey ya next season imekaaje wakuu ? Means bado tunae au!!!
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app