Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hama timu Acha kuleta utoto

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Nadhani mapungufu nayoyaona kwenye mitazamo yeni ni fikra zilizojikita kwenye dhana kwamba mpira ni wachezaji 11/22 ukiondoa red cards na dakika tisini ukiondoa muda wa nyongeza.

dhana hii ndio ileile inayoangalia timu yenye mabeki, mid fielders na strickers, ambayo sio ya msingi kiivyo.

mpira is alot of things, na Ronaldo amechangia alot of negative things kwenye timu msimu uliopita, hivyo aondoke zake.
1. Hata sasa, Ronaldo ni nani mpaka ahoji situation ya timu kusajiri? hivi hao wachezaji waliopo ambao wanacheza nafasi ambazo inasemekana inabidi waje wachezaji wengine wanamchukuliaje Ronaldo? kama mwenzao? Yaani hataki kucheza na wachezaji waliopo?

2. Ronaldo alipofika alitengeneza kakundi ka waongea kispanish kwenye timu?

3. Hako ka kundi kakaanzisha Propaganda za Ronaldo awe Captain? hivi mnaelewa madhara ya upuuzi wa namna hii? kwa timu nzima?

4. Uwanjani, from day one, akawa analazimisha lazima yeye ndio apige mipira golini, huu upuuzi ndio yule dogo mjelajela aliukataa wakakosana akaanza kumsemea dogo mbovu? mshenzi yule mipira yenyewe akipewa anapiga maboko, dakika 70 za mchezo kazi kujiangusha angusha na kulalamia wachezaji, marefa mpaka mashabiki.

5. eti top scorer, alifunga magoli 24 TUUUU, ANTONY MARTIAL MSIMU WA 20/21 ALIFUNGA MAGOLI 23 PIA. So huyo ronaldo hakuna jipya kwenye ufungaji alioleta pale uwanjani zaidi ya kulazimisha kuzuia watu wengine wote wasifunge.

kwa uchache, niko safari nikitulia ntarudia hapa kumtukana vibaya sana boya yule.
 
Mkuu nakuunga mkono asilimia/100 bora asepe tu faida ni kubwa kuliko hakibaki.
 
Na mna bahati West Ham alipigwa comeback, angeshinda lile game nyumbu mngecheza conference league hapo hadi Magwaya angetaka kuondoka.
Sisi Pana game 2 au 3 tungeshinda upuuz mwingi usigetokea. I bet Bora hata angebakigi solsisher tungekuwa okay. Lkn solsisher alifanya makosa ya kumng'anganiza Pogba...na Tena akampa kichwa Ronaldo.. ni ktk makosa makubwa Sana
 
Kaka amini....huna akili kabsa
 
Nimekudharau sn.... wahisha sukari nyumbani, United hatuna vilaza km wew
 
Mambo mengi hapa hayana uhalisia kama ulivyo andika maana Ronaldo kama mchezaji hajawah kufanya press kusema vitu ulivyo andika hapo ila magazeti yanaandika ili yauze labda ungesema tulibadili namna ya kucheza kutokana na ujio wake mfano msimu wa 2020/21 tulikuwa tuna defence tukiwa nusu ya uwanja upande wetu na kushambulia kwa counter na ilitusaidia kuficha mapungufu ya wachezaji kama maguaya na full back zetu

Lakn 2021/22 tulibadili tukaanza kucheza mifumo ya kukabia juu pressing sasa hapo ndio tatizo lilipokuja tena kwenye kudefence game nyingi defence yatu ilikuwa mbovu inachoma plus hatukuwa na midfielder wazuri kucheza mfumo huo wa kukukabia juu...na tulianza kucheza hvyo toka msimu umeanza sosha alianza mwenyew nafikiri ni baada ya kupata wachezaj kama varane, Ronaldo, Sancho hawa watu nafikiri ndio waliompa matumain sosha kubadili mfumo wake na sio kusingizia matatizo ya wachezaji wengine kwa Ronaldo

TIMU NI MBOVU IN FACT

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me nilijua unaeleza facts kumbe upo hapa kumtukana yule boya?😂

Okay baada ya safari ukitulia usiache kutupa mwendelezo, maana unajua kuchamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…