Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ikitokea Martinez akasainiwa Man u itakua imeua ndege wawili kwa jiwe moja maake pia game nyingi za uefa alicheza kama defensive midfield....
Mdogo mdogo naanza kumuelewa Ten hag anavopick wachezaji....
Trust the process
 
Mkuu angalia hii video kama una muda dakika 3 tu

Anapiga cross ila anaonekana anaprefer pasi zaidi kuliko cross. Pia hasubirii afike box la wapinzani, tuna misingi mbio wa kutosha atasaidia.
Cr7 akiacha mapepe atakuwa anapigilia Sana. Maana dogo anajua kukunjua. Muhimu ni aina ya mwalimu kama unamuamini
 
Wakati wanaume wote duniani wanacheza UCL Kuna mbwa mmoja anajiita goat atakuwa anacheza Europa league na kina selitiki ,renjazi ,furakifuti ,sipatikomosiko Tena siku za alihamisi aiseeee [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hama timu Acha kuleta utoto

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…