Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ndio mkuu ni kama AWB na yeye pia ni press resistant, anajua kudrible na kutoroka, anakaba etc, sema anajua kupiga pasi nzuri pia, na ana speed sana. Hivyo fikiria kama Awb+rashford pamoja.
Huyu jamaa anajua kupiga krosi mkuu?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Ukishafika hapo kuwa wakuelezee ni kivipi Ronaldo ni chanzo cha timu kufanya vibaya msimu uliopita wanakimbia. Mimi nataka maelezo tu kivipi Ronaldo amechangia tuwe na defense na midfield mbovu basi.

Nilisema hii agenda ilianzishwa na wapuuzi wa mitandaoni hasa Twitter na hawana sababu za msingi zaidi ya guessing wakikosa majibu wanakuja na quotes za wachezaji wa Juventus. [emoji23]
 
Ile ni brand mkuu, kwahiyo inapigwa vita na wengi sana bila hata sababu, kuna watu pia utakuta wanamdiss Messi bila sababu zozote za msingi.
 
Ngoja ligi ianze tutatafutana hapa. Mimi toka tuingie chaka kwa Raph sina imani kabisa kwa ten haag kama atafanya la maana.

Hii man u yetu ya sasa sio ya hadhi ya cristiano!
Bora aondoke tu kuepusha lawama zisizomuhusu.

Sina matumaini yoyote ya hii timu mpaka labda baada ya mechi tano au sita za mwanzo wa ligi.
 
tokea wamsajili Ericksen mie basi tena labda tusubirie msimu wa 2023/2024
Huyo jamaaa pia hajali afya yake ya moyo. Imagine man u tunaongoza 1-0 dakika ya 90+. HALafu li maguire linajifunga own goal.
Si pacemaker itatingishika moyoni. Ilibidi aende timu kama bayern,psg,au mancity ambapo atacheza mpira kwa ku lelax,man u ni hatari ka afya yake,sijui nani anamshauri huyu mtu.
 
Subirini muone maajabu ya Ten hag,hajawahi feli,
 
 
tokea wamsajili Ericksen mie basi tena labda tusubirie msimu wa 2023/2024
Mkuu hivi unamjua vizuri ericksen wewe au kwakuwa alikuwa anachezea timu za kawaida nawewe una muona wa kawaida.

Jaama ni fundi balah kule inter milan alipambana hadi walipata ubingwa mzee sio wa mchezo mchezo uyo mwamba

Tatizo watu mnapenda kusikia majina makubwa makubwa tu mm kwangu naona ericksen ni mkali kuliko hata uyo de jong wenu.
 
Ndio mkuu ni kama AWB na yeye pia ni press resistant, anajua kudrible na kutoroka, anakaba etc, sema anajua kupiga pasi nzuri pia, na ana speed sana. Hivyo fikiria kama Awb+rashford pamoja.
Unamuona akianza direct kwenye first XI??
 
Katika kitu chenye natamani nikiona kinatokea ni ronaldo kuondoka Manchester united yani ndakuwa na furaha sana haiwezekani toka aje yeye wachezaji wengine waache kufung washuke na viwango.
Hajafika hata pre-season..aondoke tujue ni namna gani tutajenga timu yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…