Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hapana acha so much bra bra let the point.

Man united ni timu kubwa barani Ulaya, na ulimwenguni...classic man utd fans, kila mchezaji anapochezea man utd anaona amepita theater. Na kama unadhani wanaoingia wanalewa sifa ni ulongo...wao wenyewe wanaiona wanachensha, wanapiga viono uwanjani..makocha wanaitamani wanaogopa wataaibika.

Kinachoisaidia man utd ni Jina lake, huwez ukfananisha mapato kwenye Idara ya matangazo ya man city, Liverpool na man utd..... ticket kuiona man utd huwez ukaona inazidiwa mauzo na vitimu vyenu.

Ndio klab pekee yenye history iliyotukuka kwenye uwanja wa soka.(football industry)

Eth pamoja na kuonywa na Netherlands national team Koch aliamua achukue mikoba, cheki walimu walioomba na wakashindwa wakatimua, is the same thing pep huwez ukampa man utd akakubali, Kwa sababu he can not lead harder club like man utd, yenye challenges zaidi ya kuwa mwalimu uwanjani.

Alimwabia, utd is not a football club, it's a commercial club..yes let it be. Wewe ni mwalimu simamia. Unashindwaje una world proffer footballers. Ina PSG hizi likes clubs zinawalimu wake
 

Umeandika kishabiki huku mahaba yamekuja tele.
Manchester united kwa sasa ina mashabiki wengi wanaohangaika na historia.
Kwa soka la sasa hivi nyinyi hata big 4 siyo sehemu yenu tena.
Team ina pressure kubwa ya mashabiki kuliko kitu chochote.
Bado mmiliki wa timu ni mfanyabiashara anaituma timu kukopa kwenye bank kwa ajili ya business zake.
Hivi kwa style hiyo mtatusua kweli...?
Bado mnaharibu vipaji vya vijana wengi tu...

Sancho wa Dortmund saiv hapo man u kachuja hata coastal union hapati namba.

Van der beek naye kageuka bench warmer.

Ili mpige hatua kutokea hapo mlipo ni lazima kukubali kuwa zama zimepita...ile man ya Ferguson ni zilipendwa.

Pep hawezi funidha man kwa sababu ya mfumo mbovu uliopo...
Wachezaji wana kiburi kuliko..
Mfano Pogba alikuwa anavimbiana na Mourinho..
Nidhamu ya ovyo kabisa.
 
Wewe huvimbiani na JF?? Yanga bwana
 
Ni ngumu kuamini United imewaacha Mata,Herrera,Sanchez,Lingard,Pogba,Cavani,Matic wakaondoka free while huko nyuma kuna timu ziliwahitaji na kuna uwezekano wengine wengi wakaondoka free
 
Me najiuliza Eriksen na Bruno nani atamkalisha mwenzie benchi maana wote ni 10
Eriksen ni CM(primary position) ingawa anaweza kucheza position zingine including AM.
Bruno na VDB ndo AM(s). Hawa ndo watakuwa na vita ya nafasi.
Eriksen na Bruno wanaweza kucheza pamoja iwapo hatutacheza double pivot(ya Fred na Scott). That means apatikane DM mpya au mmoja wapo kati ya Fred au Scott acheze kama lone DM.
 
NILIWAHI KUSEMA WIKI ILIYOPITA KWASASA DUNIANI KUNA UHABA MKUBWA WA CF ,

IWAPO CR7 ANAONDOKA MAN U NA KWENDA NJE YA EPL , NI WAZI MAN U NA CHELSEA ZINABAKI BILA CF WA MAANA ,ITAWALAZIMU KUTUMIA FALSE 9 .

Kitu ambacho Ni Risk kwa epl, Ni pep na Klopp ndio walithubutu kufanya hivo ,Lakin nao wamerudi sokon wamenunua typically CF ,Halland na Nunez.

Arsenal katika Scout yao walikuwa na majina ya Gabriel Jesus akiwa top kabisa kwenye list, kulikuwa na Gianluca Scamaca , Victor Osmhen ,

Kwa uhaba wa CF uliopo barani Ulaya iliwalazimu Liverpool waweke mezan karibu €80m kwa Nunez ambaye ana msimu mmoja mzuri ,

Ukienda pale Napoli , ukamuulizia Victor Osmhen a CF wakawaida tu basi Rais wa Napoli Ndugu Aurelio De Laurentiis anakwambia weka mezani €100m .

Ukienda pale Sasuolo ukamuulizia bwana mdogo Gianluca Scamaca ambaye bado haja prove chochote Cha maana utaambiwa weka mezani €50m.

Hii inaonesha kwasasa Kuna uhaba wa CF duniani, hii imepelekea Arsenal wasisite kutoa €50m(£45m) kwa Gabriel JESUS, kwanza ana uzoefu na epl ,pili Ni winner akiwa na mataji manne ya epl .

Mwisho had Jumapili iliyopita bado Kuna klabu zinahaha kusaka CF , zilimfata Gabriel Jesus aachane na Arsenal kabla hajatangazwa.

Fabrizio Romano anasema

Three clubs tried to hijack Gabriel Jesus deal until Sunday, June 26… but he always wanted Arsenal as priority. Now it’s finally official and confirmed.
#AFC

Signed last week, delivered today. £45m to Man City. Contract until June 2027.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…