Manchester United (Red Devils) | Special Thread

FDJ na Neves itapendeza wakija wote wawili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wakati City anakiwaga kawaida Sana ..... Cha ajabu mwalimu ana mbinu mbadala.... mwishoni wakabeba...

Liverpool Ndio naiyona inapiga viuno tuuu. Bora Man UTD akipanda amepanda.....

Peo ni MTU mwenye bahati Sana na intelligence yake viwango.....

Spur ni soda tu
 
Manchester city wanauza wachezaji wao hususani kutoka team B kwa kiwango cha juu kabisa mpaka naingiwa na wivu, wameshakusanya paundi million 26 kwa mauzo ya wachezaji wawili walionunuliwa na southampton na wote wanatoka team B. wameshapata paundi million 40 kwa gabriel jesus na wanaelekea kupata paundi million kwa sterling. pia wamemuuza mjapan kwa bei ya jumla kwenda borussia. SISI TUNASHINDWA KUWAUZA HATA WA KIKOSI CHA KWANZA
 
Sisi mashabiki wa man utd hatutaki kukubali kwamba tupo tunapitia kipindi kigumu,ndo maana kila uchwao tumekua tukifanya comparison..Hata hao man city kuna muda walikua ivo ivo,na liva ndo walikua takataka,nafasi ya saba kwao ilikua kawaida.
Time will come tuvute subira....
 
Hahaha...

Kitoabu bana..
 
[emoji2788]— Sir Alex Ferguson on Eric Cantona:

“If ever there was one player, anywhere in the world, that was made for Manchester United, it was Cantona. He swaggered in, stuck his chest out, raised his head and surveyed everything as though he were asking: ‘I’m Cantona. How big are you? Are you big enough for me? But I do admit that there was something, perhaps a mental block, that stopped him from being the best player in the world.

There was an element in his nature that seemed to prevent him from realising the full potential of his incredible gifts.” [emoji3590][emoji3590][emoji3590]
 

Muda wa man u ulishapitaga.

Tatizo la man u kwa sasa ni mashabiki...
Kwanza mnasifia sana wale watoto..hadi wana under performe..mfano ni rahsford.

Pili mnawatishia wachezaji maisha cc maguire.

Nne vita yenu na mmiliki mnaileta uwanjani.

Man u wanahitaji kizazi kipya cha mashabiki kizazi hiki kilichoachwa na SAF kinaishi kwenye ndoto bado.
 
Huyo mechi 2 anaumia tumemkosea nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…